Mwakyembe, Anna Kilango, Sitta, Zitto na Asumpta Mshana

Huyo ndio kiongozi wetu, Tunaimani nae.

1.Mwasisi wa Chadema na Mwenyekiti wa kwanza EDWIN MTEI.
2.Akafuatia BOB MAKANI, Shemeji yake MTEI.
3. Akaja MBOWE alibebadilisha katiba ya Chama ili awe mfalme, naye ni MKWE Wake Na MTEI.

Unganisha picha hiyo nafikiri utajua ni kwanini watu kama akina ZITTO kutangaza nia ya kugombea uenyekiti kwanini wanapigwa mawe na wanazi wa hiki chama. Hata huu uzi umeandikwa kuwazungumzia hao wote ila mlengwa mkubwa ni Zitto Kabwe.
 
Tunauheshimu na kuuhenzi mfumo mzima wa upatikanaji wa viongozi katika chama chetu, na tunampenda sana kiongozi wetu Freeman Mbowe.

Mungu akulinde Mbowe
 
Back
Top Bottom