Mwakyembe anauza bandari

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
184
Kati ya watu ambao tuliwaamini katika nchi hii na waziri makini ni dr. Mwakyembe. Kumbe wapi nae fisadi tu. Kaimu mkurugenzi wa bandari bw. Kipande alimweka yeye kumbe kwa faida yake,leo Mwakyembe na wenzake wanauza bandari kwa mkataba wa hovyo.

Moja ya masharti ya mkataba mwekezaji huyo asilipe kodi 30yrs na asiingiliwe na serikali kwa jambo lolote.

Watanzania tumshukuru mkuu wa mkoa wa Mtwara mh. Simbakaria kwa kuwa mzalendo kugomea mkataba huo,bila yeye bandari ilikuwa inauzwa.

Asante RC Mtwara, Mungu akupe uhai na tuwashukuru TAKUKURU kwa kuingia kazini. Mwakyembe ni mwizi tu.
 
Mwakyembe na Sita wanafiki, mimi niliwajua mapema, tena Mwakyembe ni mwepesi kutumika huyo jamaa ni hatari. Walimwandalia Lowasa zengwe kwa masilahi binafsi, eti mengine wameacha!Limewachachia na mwenziwe Sita.
 
Hakuna aliye msafi ndani ya CCM. Tibaijuka naye kachukua dola milioni kutoka fisadi wa IPTL na kujimilikisha maelfu ya eka za ardhi ya wananchi huko kwao Muleba.
 
mwakani tutaona mengi sana ccm inaweza kusambaratika kama kile chama cha kenya,tupo bado tuendelee kumwombwa Mungu atupe uzima yote tuyaone.
 
Nikiwaambia mwakyembe mwizi mnasema wivu wa kisiasa. Huyu jamaa hafai! Michongo yote ya bandari ni hela zake za mfukoni na kaipanga safu nzuri sana ya upigaji. Toka aingie kashapiga zaidi ya bilioni 200 watu hawajui tu! Tushamchoka sie huku Bandarini
 
Weka source ya habari ,au wewe ni mmoja wa wale walotimliwa huko bandarini na ndo mana unaleta povu apa.
 
Kati ya watu ambao tuliwaamini katika nchi hii na waziri makini ni dr. Mwakyembe. Kumbe wapi nae fisadi tu. Kaimu mkurugenzi wa bandari bw. Kipande alimweka yeye kumbe kwa faida yake,leo Mwakyembe na wenzake wanauza bandari kwa mkataba wa hovyo.

Moja ya masharti ya mkataba mwekezaji huyo asilipe kodi 30yrs na asiingiliwe na serikali kwa jambo lolote.

Watanzania tumshukuru mkuu wa mkoa wa Mtwara mh. Simbakaria kwa kuwa mzalendo kugomea mkataba huo,bila yeye bandari ilikuwa inauzwa.

Asante RC Mtwara, Mungu akupe uhai na tuwashukuru TAKUKURU kwa kuingia kazini. Mwakyembe ni mwizi tu.

Col. Simbakalia ni kitu ingine, jamaa ni msafi saana huyu Mnyamwezi, upuuzi kwake hakuna.
 
Kati ya watu ambao tuliwaamini katika nchi hii na waziri makini ni dr. Mwakyembe. Kumbe wapi nae fisadi tu. Kaimu mkurugenzi wa bandari bw. Kipande alimweka yeye kumbe kwa faida yake,leo Mwakyembe na wenzake wanauza bandari kwa mkataba wa hovyo.

Moja ya masharti ya mkataba mwekezaji huyo asilipe kodi 30yrs na asiingiliwe na serikali kwa jambo lolote.

Watanzania tumshukuru mkuu wa mkoa wa Mtwara mh. Simbakaria kwa kuwa mzalendo kugomea mkataba huo,bila yeye bandari ilikuwa inauzwa.

Asante RC Mtwara, Mungu akupe uhai na tuwashukuru TAKUKURU kwa kuingia kazini. Mwakyembe ni mwizi tu.

una uwakika???? tupe uthibitisho sahihi maana co una ropoka tu
 
Nikiwaambia mwakyembe mwizi mnasema wivu wa kisiasa. Huyu jamaa hafai! Michongo yote ya bandari ni hela zake za mfukoni na kaipanga safu nzuri sana ya upigaji. Toka aingie kashapiga zaidi ya bilioni 200 watu hawajui tu! Tushamchoka sie huku Bandarini

Nalaumu sana wazazi kunipeleka shule, maana najitambua na kuumia sana ninapopata taarifa hizi, mbaya zaidi wenye bandari hawajielewi na hawajitambui.

Mwakyembe ni kanafiki sana kale kajamaa, anajifanya kuwa mtetezi wa wananchi kumbe anawaandaa kisaikolojia ili akipiga dili zake ba kugundulika wananchi wasio na upeo wasiamini.
 
Simbakalia ni muadilifu sana...Alipata tuzo ya Vatican kama mmoja wa waumini Bora wakati akiwa RC Kigoma
 
Back
Top Bottom