Tena hiyo picha ya gazeti imemtoa kistaarabu. Mikononi alivaa ma-gloves meusi hivi. Ile nyumba yake pale Kunduchi kajenga kwa hela ipi?Kuumwa noma asee kawa kama baba yangu miaka 74 sasa!!!
Tena hiyo picha ya gazeti imemtoa kistaarabu. Mikononi alivaa ma-gloves meusi hivi. Ile nyumba yake pale Kunduchi kajenga kwa hela ipi?
Hawa jamaa hawalipi kodi. Na yeye yumo kumbe...Si alikuwa na Law firm kaka au?
imeniuma kuona sura yake imekuwa yakizee mpaka nashindwa hata kuitazama raia wabaya sana. Nitarudi baadae kidogo
Tulishasema Mwakyembe na Sitta ni wanafiki tukatukanwa humu.labda pitieni kwenye Kamusi maana ya neno Mnafiki ili tuelewane vizuri!
nimeshangazwa sana na kitendo cha huyu kiongozi kuonyesha dalili zote za kuogopa kuwaeleza watanzania chanzo cha ugonjwa uliomsibu,
hii inatuonyesha dhairi huyu jamaa ni mpayukaji asiye na nguvu yoyote ile,inaonyesha jinsi anavyoendeleza tabia za kulindana na kuficha ukweli ndani ya chama chake cha majizi,
watanzania tuliokuwa tumehuzunishwa na kuugua kwake tunaanza kuona jinsi tulivyojipotezea wakati wetu kuwaza kuhusu huyu mnafiki mkubwa,nakumbuka nilimwombea na kuhuzunika sana juu yake,
kwani ukitamka ulipewa sumu au ulipuliziwa sumu kutakuwa na shida gani wee jamaa?utaondolewa huo unaibu uwaziri au utanyang'anywa ubunge?
mimi nina imani na wanyakyusa sio watu wa kuficha uovu na kuogopa baadhi ya watu,unafikiri utapewa Urais au??
kuanzia leo heshima yangu kwako ni kwisha!!!!huna maana kabisa we