Ajabu ya ripoti ile ni kuwa watu "safi" kabisa waliachia ngazi ili kuwalinda wahalifu bila hata kusutwa na dhamira zao kwa kitendo hiki kiovu kuliko maovu yaliyokuwa yametendeka.Siamini kuwa upo upande mwa Dr kuhusu ile ripoti.
Angemmaliza nani? Labda angeimaliza familia ya mkuu maana ndo inahusika.
Siamini kuwa upo upande mwa Dr kuhusu ile ripoti.
Angemmaliza nani? Labda angeimaliza familia ya mkuu maana ndo inahusika.
Ajabu ya ripoti ile ni kuwa watu "safi" kabisa waliachia ngazi ili kuwalinda wahalifu bila hata kusutwa na dhamira zao kwa kitendo hiki kiovu kuliko maovu yaliyokuwa yametendeka.
kwa nini hii thread imeunganishwa??? ingeacha peke yake
Ole wao wafanyao hayo maana halitabakia jiwe juu ya jiwe. Mungu wetu ataweka kila kitu peupe ndio waanze kutumikia adhabu.
Sasa imekuwa MISCALCULATION. Inapoteza maisha ya watu. Hofu imetanda kila mahala. Viongozi wetu kukaa wakanywa chai pamoja wakazungumzia mustakbali wa NCHI haiwezekani tena. "Natural death" sasa hivi haipo tena. Kila kuugua, kufa kwa KIONGOZI yeyote kuna mkono wa mtu sasa.Duh Mshikaji, jamaa mligombea "kitu" nini? maana! dah.
Kukujibu ile ilikua CALCULATED move ya 2015 ili tusivunje MKATABA WETU na mkuu.
Kutoka nwele za mwilini kuna ashiria ametumia dawa za kensa.
dada jane,
Taarifa zilizopo ni kwamba mhudumu wa ofisi ya Dr Mwakyembe pale Wizara ya Ujenzi alifariki ghafla, ni baada ya taarifa kuanza kuzagaa kwamba Dr kalishwa sumu.
Ni wazi Mungu ameanza kuwaumbua!!!
...
kuna jamaa hapo juu anasema hii nchi tunakwenda wapi kiasi kwamba watu hawaaminiani hata kupeana mikono maofisini, hawanyi hata maji, emagine kwenye cabinet meeting ya jk kuna watu wanajulikana kabisa kama akina mwandosya hawagusi kitu wala kula na kumywa chochote mle ndani sasa maisha gani hayo watajengaje nchi hivyo?
wahudumu wenyewe wanajua flani halagi hivyo hawamwekei, eh EL Kiboko!
Siamini kuwa upo upande mwa Dr kuhusu ile ripoti.
Angemmaliza nani? Labda angeimaliza familia ya mkuu maana ndo inahusika.
Yeye mwenyewe pia hakufanya FAIR PLAY kwenye ripoti yake. Inawezekana ni maradhi tu lakini wabongo hatuchoki kutafuta sababu.
Duh!!!siku ya kufa kwangu,kama Mungu ndo mwenye mamlaka na kama kwa nguvu zake uovu hautashinda basi wauaji wa Mwakyembe na wapatilizwe na hasira yake Mwenyezi