Mwakyembe amtaka Makonda ajibu maswali 9

Maswali 9 ya mwakyembe.
1.wewe ni nani?
2.unaishi wapi?
3.unawatoto wangapi?
4.bado natoa unga kichwani?
5.hilo wesele lako mbona kubwa,unatumia mchina au natural??
6.eti wewe ni mchicha pori?
7.pogba anakufanyaje mkiwa wenyewe chumban?
8.ccm ni chama cha nchi gani?
9.unatumia shisha???
HAYA NDO MASWALI ALIYOANDAA MSOMI MWAKYEMBE
aiseee hatareee
 
Waziri wa Habari, michezo na utamaduni Dr Harrison Mwakyembe amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam ajibu maswali tisa ambayo yalipelekea kuvamia kituo cha habari cha Clouds televisheni, Mh Mwakyembe ameyasema hayo katika viwanja vya bunge wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari wa nipashe, kwamba kitendo cha Makonda kuvamia kituo cha luninga cha Clouds kitendo hicho
Katika majibu yake, Dk. Mwakyembe alisema suala hilo ni “zito” na haliwezi kuachwa lipite bila kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua stahiki.

Huku akiendelea kuikosoa ripoti ya kamati ya Nape ambayo amekuwa akisisitiza haijakidhi matakwa ya kikatiba na kisheria kwa kushindwa kumhoji Makonda, Dk. Mwakyembe alisema Mkuu wa Mkoa huyo atahojiwa kwa mambo tisa yanayohusiana na tukio hilo.

“Hili ni suala zito maana linahusisha uvamizi ambao ni kesi ya jinai,” alisema Mwakyembe ambaye ni daktari wa sheria na Waziri wa Katiba na Sheria mpaka wiki mbili zilizopita.

“Kuna vitu tisa ambavyo upande wa pili (Makonda) utaulizwa.”

Dk. Mwakyembe hata hivyo, alikataa kuvitaja vitu hivyo tisa huku akisita pia kutaja tarehe ambayo Makonda atahojiwa.

“Upande wa kwanza (Clouds TV) tayari umeshahojiwa na ripoti tunayo. Upande wa pili nao tutauhoji na wenyewe pengine una hoja,” alisema Dk. Mwakyembe.

“Ili kukidhi matakwa ya kikatiba na kisheria, ni lazima tuuhoji upande wa pili. Hili suala kama nilivyotangulia kusema ni la jinai. Lazima mtuhumiwa apate haki ya kujitetea.
“Ukifika mahakamani, hata yule mwenye kesi ya mauaji lazima tumpatie wakili, hata kama tunao uthibitisho kwamba ameua.”

Machi 29, wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari alipokaribishwa ofisi kwake mjini Dodoma, Dk. Mwakyembe alisema hawezi kuikabidhi kwa wakubwa wake ripoti hiyo ya kamati ya Nape bila kuwapo na maelezo ya Makonda.

“Taaluma yangu ni sheria, hivyo siwezi kufanya jambo hilo la kupeleka malalamiko ya upande mmoja kwa mabosi zangu bila kusikiliza ule mwingine,” alisema Mwakyembe siku hiyo.

Alisema hatateua kamati nyingine ya kufuatilia jambo hilo, bali yeye na viongozi wenzake watakuwa kamati hiyo ili kuuhoji upande wa pili kisha kupeleka taarifa kwa wakuu wake ambao ni Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais mwenyewe.

JELA MIEZI SITA
Kamati ya watu watano iliyoundwa na Nape kuchunguza tukio la uvamizi wa televisheni ya Clouds ilibaini kuwa kiongozi huyo aliwatishia kuwafunga jela miezi sita wafanyakazi wake endapo wasingerusha kipindi alichokitaka.

Pia Kamati hiyo ilibaini Makonda aliwatisha kuwa angewaingiza wafanyakazi hao kwenye tuhuma za matumizi ya dawa za kulevya kama wasingerusha kipindi chake.

Aidha, kamati ilibaini kuwa Makonda aliwatisha wafanyakazi wa kituo hicho ili wasitoe taarifa za uvamizi wake, kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa na Katibu wa Kamati hiyo, Deodatus Balile.

Wajumbe wengine wa kamati hiyo iliyokuwa chini ya uenyekiti wa Dk. Hassan Abass, ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, ni Mhariri Mkuu wa Magazeti ya The Guardian, Jesse Kwayu, Nengida Johannes wa Upendo Media na Mabel Masasi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Ilidaiwa Makonda akiwa na askari kadhaa wenye bunduki, alivamia kituo hicho na kuwalazimisha watangazaji wa kipindi cha ‘Da Wikend Show’ kurusha taarifa ya mama anayedai kuzaa na askofu Gwajima, bila ya kiongozi huyo wa kidini kupewa nafasi ya kusikilizwa.

Ingawa taarifa ni ya upande mmoja, kwa mujibu wa Balile mtuhumiwa alikubali kuwaona, lakini wakati wakipanda ngazi kwenda ghorofani iliko ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ilala jijini, Makonda aliteremka kwa kutokea mlango wa nyuma.

hakikubaliki, hivyo anapaswa kujibu maswali kadhaa katika kuhoji upande wa pili maana kitendo hicho kimelaaniwa sana na jukwaa la wanahabari Tanzania na wadau wengine wa habari ndani na nje ya nchi.

Nipashe.
Swali la kwanza, kwa nini uliikimbia kamati iliyotumwa kukuhoji na kukata mawasiliano nayo?
 
Kuna kitu kinaitwa "Credibility". Kitu hiki huwa kinajengwa au kubolewa. Sielewi ni kwa nini Serikali inaruhusu credibility yake kubomolewa kwa matendo machafu ya mtu mmoja. Kiukweli, mamlaka zinaposita kuchukua hatua dhidi ya matendo ambayo yako wazi kama hili, inamtia wasiwasi kila mtu. Lakini vitendo hivi vinatoa nafasi kwa watu kuamini hata mambo ambayo si ya kweli. Utaachaje kuamini, kama hili linaweza kuachwa lipite hivi hivi??? Sikubaliani na suala la kuendelea kutafuta ushahidi. Footage za CCTV ni ushahidi muhimu kabisa na unaojitosheleza, na wala aliyetuhumiwa hajawahi kukanusha kwamba hakuwa kwenye tukio kama lilivyoonekana. Tunaweka CCTV camera ili zifanye kazi hiyo ya kukusanya na baadaye kutoa ushahidi. Kwa hiyo tuache kutafuta ushahidi wa kisiasa katika matukio yenye ushahidi wa kisayansi.
 
Kwani waliovamiwa kwa nini wameshindwa kufikisha suala hili kwenye vyombo vya sheria??? kwa nini wasiende mahakamani kudai haki yao????????
 
Mwakyembe mnafiki yeye alitoa ripoti ya Richmond bila kumhoji Lowassa. Sasa kama Makonda aliikimbia kamati wajumbe wangefanyaje?
 
Clouds waache pia mambo ya political correctness..... yaani unavamiwa studio usiku na kutishwa na watu wakiwa na silaha, watu wenyewe unawafahamu, na ushahidi wa CCTV unao, kisha unakaa kimya???? Kesho mkivamiwa na majambazi huko studio ndipo mtakimbilia polisi????? a bunch of idiots...
 
Walishashtaki police, kesi za jinai hufunguliwa na jamuhuri mahakamani
 
Sina imani na Mwakyembe, lipo analolipika, na si jema... nawaza tu
 
Waziri wa Habari, michezo na utamaduni Dr Harrison Mwakyembe amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam ajibu maswali tisa ambayo yalipelekea kuvamia kituo cha habari cha Clouds televisheni, Mh Mwakyembe ameyasema hayo katika viwanja vya bunge wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari wa nipashe, kwamba kitendo cha Makonda kuvamia kituo cha luninga cha Clouds kitendo hicho
Katika majibu yake, Dk. Mwakyembe alisema suala hilo ni “zito” na haliwezi kuachwa lipite bila kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua stahiki.

Huku akiendelea kuikosoa ripoti ya kamati ya Nape ambayo amekuwa akisisitiza haijakidhi matakwa ya kikatiba na kisheria kwa kushindwa kumhoji Makonda, Dk. Mwakyembe alisema Mkuu wa Mkoa huyo atahojiwa kwa mambo tisa yanayohusiana na tukio hilo.

“Hili ni suala zito maana linahusisha uvamizi ambao ni kesi ya jinai,” alisema Mwakyembe ambaye ni daktari wa sheria na Waziri wa Katiba na Sheria mpaka wiki mbili zilizopita.

“Kuna vitu tisa ambavyo upande wa pili (Makonda) utaulizwa.”

Dk. Mwakyembe hata hivyo, alikataa kuvitaja vitu hivyo tisa huku akisita pia kutaja tarehe ambayo Makonda atahojiwa.

“Upande wa kwanza (Clouds TV) tayari umeshahojiwa na ripoti tunayo. Upande wa pili nao tutauhoji na wenyewe pengine una hoja,” alisema Dk. Mwakyembe.

“Ili kukidhi matakwa ya kikatiba na kisheria, ni lazima tuuhoji upande wa pili. Hili suala kama nilivyotangulia kusema ni la jinai. Lazima mtuhumiwa apate haki ya kujitetea.
“Ukifika mahakamani, hata yule mwenye kesi ya mauaji lazima tumpatie wakili, hata kama tunao uthibitisho kwamba ameua.”

Machi 29, wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari alipokaribishwa ofisi kwake mjini Dodoma, Dk. Mwakyembe alisema hawezi kuikabidhi kwa wakubwa wake ripoti hiyo ya kamati ya Nape bila kuwapo na maelezo ya Makonda.

“Taaluma yangu ni sheria, hivyo siwezi kufanya jambo hilo la kupeleka malalamiko ya upande mmoja kwa mabosi zangu bila kusikiliza ule mwingine,” alisema Mwakyembe siku hiyo.

Alisema hatateua kamati nyingine ya kufuatilia jambo hilo, bali yeye na viongozi wenzake watakuwa kamati hiyo ili kuuhoji upande wa pili kisha kupeleka taarifa kwa wakuu wake ambao ni Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais mwenyewe.

JELA MIEZI SITA
Kamati ya watu watano iliyoundwa na Nape kuchunguza tukio la uvamizi wa televisheni ya Clouds ilibaini kuwa kiongozi huyo aliwatishia kuwafunga jela miezi sita wafanyakazi wake endapo wasingerusha kipindi alichokitaka.

Pia Kamati hiyo ilibaini Makonda aliwatisha kuwa angewaingiza wafanyakazi hao kwenye tuhuma za matumizi ya dawa za kulevya kama wasingerusha kipindi chake.

Aidha, kamati ilibaini kuwa Makonda aliwatisha wafanyakazi wa kituo hicho ili wasitoe taarifa za uvamizi wake, kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa na Katibu wa Kamati hiyo, Deodatus Balile.

Wajumbe wengine wa kamati hiyo iliyokuwa chini ya uenyekiti wa Dk. Hassan Abass, ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, ni Mhariri Mkuu wa Magazeti ya The Guardian, Jesse Kwayu, Nengida Johannes wa Upendo Media na Mabel Masasi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Ilidaiwa Makonda akiwa na askari kadhaa wenye bunduki, alivamia kituo hicho na kuwalazimisha watangazaji wa kipindi cha ‘Da Wikend Show’ kurusha taarifa ya mama anayedai kuzaa na askofu Gwajima, bila ya kiongozi huyo wa kidini kupewa nafasi ya kusikilizwa.

Ingawa taarifa ni ya upande mmoja, kwa mujibu wa Balile mtuhumiwa alikubali kuwaona, lakini wakati wakipanda ngazi kwenda ghorofani iliko ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ilala jijini, Makonda aliteremka kwa kutokea mlango wa nyuma.

hakikubaliki, hivyo anapaswa kujibu maswali kadhaa katika kuhoji upande wa pili maana kitendo hicho kimelaaniwa sana na jukwaa la wanahabari Tanzania na wadau wengine wa habari ndani na nje ya nchi.

Nipashe.

Alisema hatateua kamati nyingine ya kufuatilia jambo hilo, bali yeye na viongozi wenzake watakuwa kamati hiyo ili kuuhoji upande wa pili kisha kupeleka taarifa kwa wakuu wake ambao ni Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais mwenyewe. Kamati huundwa ili kupata watu ambao hawaegemei upande wowote kwenye suala ambalo linahitaji uchunguzi. Mwakyembe na viongozi wenzake ni senior civil servants kama alivyo Makonda.... tutakuwepo hiyo independence?
 
Yako wapi hayo maswali?
Hii tabia ya kukopi habari ya mbele ya magazeti nayo imekuwa too much humu ndani
Gazeti limesema kuwa waziri Mwakyembe alikataa kuyataja hayo maswali 9 wala tarehe tarajiwa ya mahojiano hayo...

Kwa hiyo usimshambulie mleta uzi...
 
mi nachukia yule wa chattle yaani tangu alivyosema watu wapige mbizi nilimchukia na haya maneno mengine anayoendelea kukutukana ndo kabisaaaaaaa sitaki hata kumsikia
yeah tatizo katushika pabaya....
 
Gazeti limesema kuwa waziri Mwakyembe alikataa kuyataja hayo maswali 9 wala tarehe tarajiwa ya mahojiano hayo...

Kwa hiyo usimshambulie mleta uzi...
ameongezea sasa hivi , hiyo habari yake ilikuwa ina aya kama moja tu!
 
Mi mwenyewe nilikua Nina 1000 hapa nataka niongeze 1000 ninunue Kilo ya Unga wa Sembe.
inasikitisha unga kilo 1 kuuzwa USD moja kasoro kidogo.... je na sisi tunaeishi kwa dola moja na nusu kwa siku tutamudu!
 
Waziri wa Habari, michezo na utamaduni Dr Harrison Mwakyembe amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam ajibu maswali tisa ambayo yalipelekea kuvamia kituo cha habari cha Clouds televisheni, Mh Mwakyembe ameyasema hayo katika viwanja vya bunge wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari wa nipashe, kwamba kitendo cha Makonda kuvamia kituo cha luninga cha Clouds kitendo hicho
Katika majibu yake, Dk. Mwakyembe alisema suala hilo ni “zito” na haliwezi kuachwa lipite bila kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua stahiki.

Huku akiendelea kuikosoa ripoti ya kamati ya Nape ambayo amekuwa akisisitiza haijakidhi matakwa ya kikatiba na kisheria kwa kushindwa kumhoji Makonda, Dk. Mwakyembe alisema Mkuu wa Mkoa huyo atahojiwa kwa mambo tisa yanayohusiana na tukio hilo.

“Hili ni suala zito maana linahusisha uvamizi ambao ni kesi ya jinai,” alisema Mwakyembe ambaye ni daktari wa sheria na Waziri wa Katiba na Sheria mpaka wiki mbili zilizopita.

“Kuna vitu tisa ambavyo upande wa pili (Makonda) utaulizwa.”

Dk. Mwakyembe hata hivyo, alikataa kuvitaja vitu hivyo tisa huku akisita pia kutaja tarehe ambayo Makonda atahojiwa.

“Upande wa kwanza (Clouds TV) tayari umeshahojiwa na ripoti tunayo. Upande wa pili nao tutauhoji na wenyewe pengine una hoja,” alisema Dk. Mwakyembe.

“Ili kukidhi matakwa ya kikatiba na kisheria, ni lazima tuuhoji upande wa pili. Hili suala kama nilivyotangulia kusema ni la jinai. Lazima mtuhumiwa apate haki ya kujitetea.
“Ukifika mahakamani, hata yule mwenye kesi ya mauaji lazima tumpatie wakili, hata kama tunao uthibitisho kwamba ameua.”

Machi 29, wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari alipokaribishwa ofisi kwake mjini Dodoma, Dk. Mwakyembe alisema hawezi kuikabidhi kwa wakubwa wake ripoti hiyo ya kamati ya Nape bila kuwapo na maelezo ya Makonda.

“Taaluma yangu ni sheria, hivyo siwezi kufanya jambo hilo la kupeleka malalamiko ya upande mmoja kwa mabosi zangu bila kusikiliza ule mwingine,” alisema Mwakyembe siku hiyo.

Alisema hatateua kamati nyingine ya kufuatilia jambo hilo, bali yeye na viongozi wenzake watakuwa kamati hiyo ili kuuhoji upande wa pili kisha kupeleka taarifa kwa wakuu wake ambao ni Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais mwenyewe.

JELA MIEZI SITA
Kamati ya watu watano iliyoundwa na Nape kuchunguza tukio la uvamizi wa televisheni ya Clouds ilibaini kuwa kiongozi huyo aliwatishia kuwafunga jela miezi sita wafanyakazi wake endapo wasingerusha kipindi alichokitaka.

Pia Kamati hiyo ilibaini Makonda aliwatisha kuwa angewaingiza wafanyakazi hao kwenye tuhuma za matumizi ya dawa za kulevya kama wasingerusha kipindi chake.

Aidha, kamati ilibaini kuwa Makonda aliwatisha wafanyakazi wa kituo hicho ili wasitoe taarifa za uvamizi wake, kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa na Katibu wa Kamati hiyo, Deodatus Balile.

Wajumbe wengine wa kamati hiyo iliyokuwa chini ya uenyekiti wa Dk. Hassan Abass, ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, ni Mhariri Mkuu wa Magazeti ya The Guardian, Jesse Kwayu, Nengida Johannes wa Upendo Media na Mabel Masasi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Ilidaiwa Makonda akiwa na askari kadhaa wenye bunduki, alivamia kituo hicho na kuwalazimisha watangazaji wa kipindi cha ‘Da Wikend Show’ kurusha taarifa ya mama anayedai kuzaa na askofu Gwajima, bila ya kiongozi huyo wa kidini kupewa nafasi ya kusikilizwa.

Ingawa taarifa ni ya upande mmoja, kwa mujibu wa Balile mtuhumiwa alikubali kuwaona, lakini wakati wakipanda ngazi kwenda ghorofani iliko ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ilala jijini, Makonda aliteremka kwa kutokea mlango wa nyuma.

hakikubaliki, hivyo anapaswa kujibu maswali kadhaa katika kuhoji upande wa pili maana kitendo hicho kimelaaniwa sana na jukwaa la wanahabari Tanzania na wadau wengine wa habari ndani na nje ya nchi.

Nipashe.
Huyu jamaa hastahili maswali yote hayo anatakiwa kuulizwa swali moja tu...vyeti vikowapi??????
 
Back
Top Bottom