Mwakyembe amtaka Makonda ajibu maswali 9

Mwakyembe amtaka Makonda ajibu maswali 9

Endeleeni kumkumbatia tu - kura mlipewa na wananchi si Makonda.
 
Mliokaribu na Mwakyembe mwulizeni kama anamfahamu RC Makonda? Huwaga hajaribi huyo oooh,, shauri yako Mwakyembe sisi hatumo!!
 
Mwakyembe huyu huyu aliyetaka kufuta TLS nitakua wa mwisho kumuhamini
 
Nitamshangaa anayeweza kumwamini Mwakyembe. Ni Msanii wa kutupwa. Si uliona anavyomnyenyekea bosi wake siku ile. Eti, nenda kafanye kazi, kama wengine walishindwa kutimiza wajibu wao wewe kafanye kazii...! Halafu leo anakuja na uhuni huo wa wazi. Ni ulevi wa madaraka tu hapo. Alitaka kuwaridhisha waandishi wa habari yaishe. Endeleeni kumuuliza tuone atalifikisha wapi hilo jambo. Ila swali ni kama atapata ushirikiano toka kule walikotoka wale askari waliomsindikiza Bashite na huko ndiko alikotoka yule wa kutaka kumtoa roho Nape kwa bastola.
 
Walishashtaki police, kesi za jinai hufunguliwa na jamuhuri mahakamani

Nashukuru kwa taarifa Mkuu. Hivi najiuiliza, nikipeleka kesi yangu ya kuvamiwa na majambazi wenye silaha, na nikawa na ushahidi wa watu walionivamia, polisi wana mamlaka ya kukataa kufikisha suala hilo mahakamani???
 
Tatizo ni kwamba mshukiwa wanayetakiwa KUMFIKISHA mahakamani wanamwogopa..sasa wanashindwa kupeleka mahakamani kesi isiyo na mshitakiwa.
 
NAOTEA TUU: BASHITE HATOKUTWA NA KOSA LA JINAI NA PIA HATO SHITAKIWA NA MOVIE NDO LINA KWISHAAAA!!!
 
Tatizo ni kwamba mshukiwa wanayetakiwa KUMFIKISHA mahakamani wanamwogopa..sasa wanashindwa kupeleka mahakamani kesi isiyo na mshitakiwa.

Mwenye mashitaka mbona halalamiki??? mimi naamini kuna namna nyingi za kuhakikisha suala linafikishwa mahakamani. Siamini kwamba kuna mtu katika nchi hii yuko juu ya sheria, tatizo ni kwamba the majority of us are so paranoid tunapoona watu wenye madaraka, na tunapenda kuwaona viongozi kama miungu watu bila sabababu za msingi. Nikimkatama Mkuu wa mkoa akizini na mke wangu, niishie kulalamika tu na kumwacha kwa sababu ana cheo kikubwa serikalini???? ndivyo tunavyofanya sasa... tunabaki kuilalamikia tu serikali kama vile kuna mtu anaitwa "serikali" aliyenda kosa hilo. No, let's deal with the issue. Aliyeongoza uvamizi hapo Clouds si serikali. Ni mtu, na ni raia asiye na haki kuliko raia mwingine yeyote. Tuacheni woga wa karne ya 4, waliovamiwa wamfikishe mahakani....
 
Nasikia kwa walio karibu kuwa Mwakyembe atamuuliza Bashite maswali haya:
1. Je, ni kweli kuna kituo kinaitwa Clouds TV Tanzania?
2. Kwani wewe ni mfanyakazi wa Clouds?
3. Kama jibu ni hapana sasa ungeenda kufanya nini usiku huko Clouds?
4.Unafikiri ni kwa nini watu ni wazushi sana?
5. Unashauri hatua gani serikali iwe inazichukua kwa wanaowazushia mambo mabaya viongozi wa serikali?
6. Nini siri ya uchapakazi wako?
7. Unashauri watumishi wengine wafanye nini ili kuinua utendaji kazi wa kutukuka kama wako?
8. Kwa nini ile kamati ya Nape haikukusubiri ofisini hadi umalize mambo uliyoyaendea nje ya ofisi?
9. Kwa nini hawakuthamini cheo chako wakakuchukulia poa?
10. Serikali ifanyeje ili kuvielewesha vyombo vya habari ikiwemo Clouds ili vijue kwamba havina uhuru kwa kiwango hicho wanachofikiri? (That is, their freedom is not to that extent)
 
Atamuuliza open ended questions.

Je wewe ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam?
Je uliteuliwa na Rais?

Je baada ya kuteuliwa uliapishwa?

Je wewe ni msukuma?

Je umeoa?

Je unaifahamu clouds?

Je nawao wanakufahamu

Je clouds ipo kwenye mkoa wako?
Je uwa unakwenda clouds?
 
Nasikia kwa walio karibu kuwa Mwakyembe atamuuliza Bashite maswali haya:
1. Je, ni kweli kuna kituo kinaitwa Clouds TV Tanzania?
2. Kwani wewe ni mfanyakazi wa Clouds?

3. Kama jibu ni hapana sasa ungeenda kufanya nini usiku huko Clouds?
4.Unafikiri ni kwa nini watu ni wazushi sana?
5. Unashauri hatua gani serikali
iwe inazichukua kwa wanaowazushia mambo mabaya viongozi wa serikali?
6. Nini siri ya uchapakazi wako?
7. Unashauri watumishi wengine wafanye nini ili kuinua utendaji kazi wa kutukuka kama wako?
8. Kwa nini ile kamati ya Nape haikukusubiri ofisini hadi umalize mambo uliyoyaendea nje ya ofisi?
9. Kwa nini hawakuthamini cheo chako wakakuchukulia poa?
10. Serikali ifanyeje ili kuvielewesha vyombo vya habari ikiwemo Clouds ili vijue kwamba havina uhuru kwa kiwango hicho wanachofikiri? (That is, their freedom is not to that extent)
 
Nasikia kwa walio karibu kuwa Mwakyembe atamuuliza Bashite maswali haya:
1. Je, ni kweli kuna kituo kinaitwa Clouds TV Tanzania?
2. Kwani wewe ni mfanyakazi wa Clouds?

3. Kama jibu ni hapana sasa ungeenda kufanya nini usiku huko Clouds?
4.Unafikiri ni kwa nini watu ni wazushi sana?
5. Unashauri hatua gani serikali iwe inazichukua kwa
wanaowazushia mambo mabaya viongozi wa serikali?
6. Nini siri ya uchapakazi wako?
7. Unashauri watumishi wengine wafanye nini ili kuinua

utendaji kazi wa kutukuka kama wako?

8. Kwa nini ile kamati ya Nape haikukusubiri ofisini hadi umalize mambo uliyoyaendea nje ya ofisi?

9. Kwa nini hawakuthamini cheo chako wakakuchukulia poa?
10. Serikali ifanyeje ili kuvielewesha vyombo vya habari ikiwemo Clouds ili vijue
kwamba havina uhuru kwa kiwango hicho wanachofikiri? (That is, their freedom is not to that extent)

Daah haya sawa bana hayo maswali ya muongozo
 
Atamuuliza open ended questions.

Je wewe ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam?
Je uliteuliwa na Rais?

Je baada ya kuteuliwa uliapishwa?

Je wewe ni msukuma?

Je umeoa?

Je unaifahamu clouds?

Je nawao wanakufahamu

Je clouds ipo kwenye mkoa wako?
Je uwa unakwenda clouds?
😛
 
Swali la pili ile Lexus uliinunua lini na wapi
 
Back
Top Bottom