Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
Hii inaonyesha jinsi watanzania tusivyojiweza katika UONGOZI, tukipewa dhamana ya madaraka tunavuruga,
Mwakyembe endelea kuwafukuza mpaka waishe
nadhani hii kauli inamlenga hdi mwakyembe mwenyewe, maana pia ni kiongozi
baada ya uteuzi, alisaidiaje kusisitiza kubadilika kwa mfumo wa uendeshaji wa bandari??