Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 28,376
- 73,791
Atapigwa vibaya mno
Usimsikilize huyo hana anachokijua.Nakuunga mkono hapo
Mpaka leo nmeamua kukunga mkono
Ujue kuna jambo na kweli
Ova
Mwakinyo sio muuza mechi ila uwezo wake ni wa kawaida.Uyo muuza mechi tushamchoka
Mbinu zilimuishia akaona kichapo atakachokwenda kukipata kitamtia aibu ,ili kuficha aibu akaamua tu kunyoosha mikono Kukubali kushindwa.Umelipa kiingilio chako Safi,
Afu round ya kwanza mbuzi inasingizia kiatu
Lile pambano tu la kimataifa dhidi ya Liam Smith ambalo alikuwa yupo kwenye ranks za juu na nyota 4 alipewa million 284 sembuse siku hizi yupo nafasi ya mia Moja na kitu na ana nyota mbili halafu pambano local apewe hicho kiasi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Hakuna kitu kama hiko. Anapewa 500M kwa ngumi zipi? We unajua 500M au unajisemea tu ukiwa unauza kahawa na kashata hapo sinza kijiweni? Tuambie, promote gani anayetoa hizo 500M? Au Dayamond aliyempa zawadi Dvoice cheni ya Tsh 150M. Pumbavu kabisa wewe. Hivi hiko kichwa unatumia kufanyia nini maana unatumia makalio kufikiria.
Tena huko alipigana mamtoni na mapromota wa mamtoni sio hawa wazigua. Dogo anatupanga sana.Lile pambano tu la kimataifa dhidi ya Liam Smith ambalo alikuwa yupo kwenye ranks za juu na nyota 4 alipewa million 284 sembuse siku hizi yupo nafasi ya mia Moja na kitu na ana nyota mbili halafu pambano local apewe hicho kiasi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Dogo hana anachokijua kwenye boxing anakurupuka tu kuandika.
Mwambie Mama yako atakueleza nawaleaje? Hiyo hela ya bundle aliyokupa Mama yako.mi ndio nimempa. Pumbavu. Unakuja kunijibu hovyo.na kunidharirisha alafu unakuja kujiliza hapa. Wewe.nsio umeanza kunijibu vibaya bila sababu. Ukija kistaarabu utajibiwa kistaarabu, ukija kishari utajibiwa kishari.Wewe ni mzee ambaye huna busara sijui unalea vipi familia yako