Mwakinyo anataka apewe milioni 500 ili apambane na Kiduku

Nakuunga mkono hapo

Mpaka leo nmeamua kukunga mkono

Ujue kuna jambo na kweli

Ova
Usimsikilize huyo hana anachokijua.

Mwakinyo hata 50M hana hiyo thamani kwa sasa.

Ikumbukwe ana nyota 2 kwa sasa.

Anachofanya anatafuta attention tu anaweka masharti mengi ili pambano lisifanyike .

Pia anafanya hivyo kuwatingisha mapromota na anajua kuna mmoja tu ataingia kingi , ila tukija kwenye uhalisia hiyo 500M wanalipwa mabondia wenye 5stars .
 
Hakuna kitu kama hiko. Anapewa 500M kwa ngumi zipi? We unajua 500M au unajisemea tu ukiwa unauza kahawa na kashata hapo sinza kijiweni? Tuambie, promote gani anayetoa hizo 500M? Au Dayamond aliyempa zawadi Dvoice cheni ya Tsh 150M. Pumbavu kabisa wewe. Hivi hiko kichwa unatumia kufanyia nini maana unatumia makalio kufikiria.
Lile pambano tu la kimataifa dhidi ya Liam Smith ambalo alikuwa yupo kwenye ranks za juu na nyota 4 alipewa million 284 sembuse siku hizi yupo nafasi ya mia Moja na kitu na ana nyota mbili halafu pambano local apewe hicho kiasi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Dogo hana anachokijua kwenye boxing anakurupuka tu kuandika.
 
Kuna tetesi nyingi sana kuna wanaosema anataka 200m, mara wanasema 7m, 15m,20m,40m,70m,100m, wengine wanasema 500m, wengine wanasema 600m, wengine wanasema 800m, wengine wanasema 1B, wengine wanasema anataka $1m
Kila mtu anasema ya kwake.

Kama ningekuwa mwakinyo ningekaza kwenye $1M , hakuna kushuka 🤣. Kama Mayweather anavyotaka hela nyingi kwa pambano moja.
 
Lile pambano tu la kimataifa dhidi ya Liam Smith ambalo alikuwa yupo kwenye ranks za juu na nyota 4 alipewa million 284 sembuse siku hizi yupo nafasi ya mia Moja na kitu na ana nyota mbili halafu pambano local apewe hicho kiasi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Dogo hana anachokijua kwenye boxing anakurupuka tu kuandika.
Tena huko alipigana mamtoni na mapromota wa mamtoni sio hawa wazigua. Dogo anatupanga sana.
 
Wewe ni mzee ambaye huna busara sijui unalea vipi familia yako
Mwambie Mama yako atakueleza nawaleaje? Hiyo hela ya bundle aliyokupa Mama yako.mi ndio nimempa. Pumbavu. Unakuja kunijibu hovyo.na kunidharirisha alafu unakuja kujiliza hapa. Wewe.nsio umeanza kunijibu vibaya bila sababu. Ukija kistaarabu utajibiwa kistaarabu, ukija kishari utajibiwa kishari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom