'Mwakilishi Mpya wa Rais'

'Mwakilishi Mpya wa Rais'

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Mwandosya 1.jpg
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu asiye na Wizara maalum.Mhe. Mark Mwandosya akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kenya Mhe William Ruto wakati wa sherehe za kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Zambia Mjini Lusaka jana. Mhe. Mwandosya alimuwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe hizo.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Asie na Wizara Maalum), Prof Mark Mwandosya akiwasalimia waumini wa Kanisa Katoliki alipomwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye ibada ya sisimikwa kwa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Joseph Mlola iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki Kigoma, jana.
hongeraaaaa.jpg
 
Yaani kitendo cha kwenda kumuwakilisha Raisi na yeye nasikia kajitoa hewani kua anautaka Uraisi - Aisee hata mimi nautaka!
 
Yaani kitendo cha kwenda kumuwakilisha Raisi na yeye nasikia kajitoa hewani kua anautaka Uraisi - Aisee hata mimi nautaka!

kwahyo unamdharau mwandosya?
Aisee! Hiki ni kichwa balaa. Tatzo yuko ndan ya ccm
 
kwahyo unamdharau mwandosya?
Aisee! Hiki ni kichwa balaa. Tatzo yuko ndan ya ccm

amefanya nini nchi hii hadi awe kichwa,we nipe sifa zake kidogo maana kama EL tuliona utendaji wake wa kazi japo alikuja kukutana na za uso toka richmond
_
_nitarudi
 
Sera za Kutengeneza SUMATRA na EWURA zimetoka kwa huyu jamaa. ni mzuri sana
 
amefanya nini nchi hii hadi awe kichwa,we nipe sifa zake kidogo maana kama EL tuliona utendaji wake wa kazi japo alikuja kukutana na za uso toka richmond
_
_nitarudi
anaelekea jioni sana
 
kikwete na mwandosya.JPG
kama hamjui hata hawa hawakukutania BARABARANI
 
_MG_0563.JPG
Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akimwapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya katika hafla iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha zote na Kamanda Mwaikenda)
 
kwahyo unamdharau mwandosya?
Aisee! Hiki ni kichwa balaa. Tatzo yuko ndan ya ccm

angekuwa kichwa balaa angeshatoka huko....ni puppet tu. Siamini ktk ccm kuna watu vichwa, wote ni vichwa maji tu. wanafiki na mafisadi wakubwa
 
tuache za huko nyuma toka kapewa hiyo wizara butu amefanya nini kwa kipindi hiki kifupi zaidi ya kutangaza nia??
 
Sera za Kutengeneza SUMATRA na EWURA zimetoka kwa huyu jamaa. ni mzuri sana

Halafu hao SUMATRA na EWURA wanafanya kazi gani mbona Dala dala zinatamba kama hakuna kitu kama hicho, aidha, vituo vya kuuza mafuta vinagoma kama hakuna sheria !!! Au kutafutiana ajira na mishahara minono kwa vyeo vya CEOs !!
 
Back
Top Bottom