Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
- Thread starter
- #21
awali ni awalihalafu hao sumatra na ewura wanafanya kazi gani mbona dala dala zinatamba kama hakuna kitu kama hicho, aidha, vituo vya kuuza mafuta vinagoma kama hakuna sheria !!! Au kutafutiana ajira na mishahara minono kwa vyeo vya ceos !!