Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,482
- 286,930
Fredrick Mwakalebela aliyekuwa mgombea Ubunge wa ccm kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 , ameamua kuachana na siasa na kuamua kurudi kwenye soka alikokuwa awali , safari hii si TFF tena bali sasa ameenda Yanga ( TASAF FC ) ambako anaomba Umakamu Mwenyekiti.
Nachukua nafasi hii kumpongeza ndugu Mwakalebela kwa uamuzi aliochukua baada ya kusoma alama za nyakati .
Nachukua nafasi hii kumpongeza ndugu Mwakalebela kwa uamuzi aliochukua baada ya kusoma alama za nyakati .