Mwaka wa tabu tena?

Mwaka wa tabu tena?

Hauwezi kuwa na wachezaji waliochoka kiakili kama Kapombe utegemee kupata mafanikio. Kwa wachezaji mapro wanaojielewa, hapa haupigi mpira kwa style hii.

1000128033.jpg

Halafu cha ajabu, Simba huwa inawapa wachezaji waliochoka kama hawa ucaptain, kwa maana hiyo panga pangua lazima acheze.
 
Kwamba striker tegemezi ni Kibu, mukwala na namba 10 tegemezi ni ahua na mpo serious mnataka kuchomoka mbele ya Pacome, Mzize, Nzengeli, Ecua?? ACHENI UTANI 🤣
 
Back
Top Bottom