Mwaka wa Hasara kwa Team CHADEMA Mitandaoni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,901
Reaction score
20,410
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.
 
hahaha madikteta uchwara waanze kuchimba mashimo wale wanaokandamiza democrasia imekula kwao........

mtu anavunja katiba hivihivi ............
anaishi ikulu miaka 50
 
Trump ni mtetezi wa wananchi wanaodhulumiwa na viongozi madikteta hasa Afrika.
Nakumbuka alisema hatakubali matokeo kama patakuwa na wizi wa Kura.
Trump,leta moto huo Afrika ili Chaguzi ziwe huru na haki.
 
Africa must be colonized again. kwa hili hata mkuu wetu Wa nchi hana amani. hivyo siyo hao tu uliowazungumzia
 
Trump ni mtetezi wa wananchi wanaodhulumiwa na viongozi madikteta hasa Afrika.
Nakumbuka alisema hatakubali matokeo kama patakuwa na wizi wa Kura.
Trump,leta moto huo Afrika ili Chaguzi ziwe huru na haki.
Naona wana ccm wanajipanga tena kwa bao la mkono 2020 mambo yakiwa magumu wana jechalize tu km zenji.
Iliniuma sana kuona wameshindwa halafu wanarudia uchaguzi.
FISADI NI FISADI TU
 
Trump ni mtetezi wa wananchi wanaodhulumiwa na viongozi madikteta hasa Afrika.
Nakumbuka alisema hatakubali matokeo kama patakuwa na wizi wa Kura.
Trump,leta moto huo Afrika ili Chaguzi ziwe huru na haki.
Kwahiyo unataka Trump aanzie Zanzibar na Tanganyika alafu Burundi na Uganda...
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.

katika hotuba yake ya kushukuru amesema ataanza na tembo aka kipara
 
Lizaboni mbona ktk mambo ya msingi kabisa yanayo husu nchi na utawala huwa huongei kitu hasa pale inapokuwa inahusu CCM ? Achana na mipasho kijana....let's build our nation
Kwani haya si mambo ya msingi? Mmepigwa Nje Ndani
 
Namuona Mange akirud bongo sasa na mabegi huku akipokelewa airport na jesh la polis kwa kutukana serikali ya maguful
 
naona Mtani umeanza kujishtukia akini naomba tu nikulize ulikuwa unafwatilia campen zake? ulisikiaje kuhusu wanaovunja katiba huku Africa? mtajibeba sana
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.
Dawa yenu ni Trump tu hizi njia mnazotumia kuishi kilaghai na kudanganya wananchi sasa zimekaribia kufikia mwishoni.

Dhuluma ya zanzibar sasa imefika mwisho wake kiboko yenu kaingia nyie makaburu weusi.
 
Hata ukichukua muda kujichekesha Trump si chagua la viongozi walafi wazandiki wanafiki wapenda kusifiwa labda uwe umeandika kujifariji hii namba haifai kwa viongozi wavunja katiba subiri utafurahia zaidi
 
Back
Top Bottom