Mwaka Unakata Wazee, Tufanye Tathmini....

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Kama masihara vile lakini ndio hivyo tena,
Muda ahusubiri mtu, unasonga mbele kwa mbele kama ccm.

Mipango ilikwenda sawa?
Nani alikuwa mchawi wako?
Au mambo ni vuluvulu??

Tupeane faraja, tuliojikwaa tujue pakushika.

Binafsi milima ilikuwa mingi kuliko miteremko, milima mikali sana.

Zaidi ya yote ni kufurahia haya maisha, kujikubali na kuamini.

Tupe zako...
 
70% ya malengo yangu nimeyaona.

Tuzidi kumuomba Mungu 2019 tufike na kuianza salama ili tuweke malengo mengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom