Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,262
Wandugu ndo hivyo 09 inayeyuka. Mwaka una mambo mengi. Sasa wewe hadi leo ni kipi cha kujivunia au cha kujutia umekifanya au cha kuhuzunisha kimekusibu. Hii itasaidia wengine kujifunza au kuepuka toka kwako. Binafsi kwa mwaka huu nimempoteza mzazi (baba). Mengine ya kawaida tu. Tupe yako. Uwanja ni wenu