Mwaka unaisha! Ni mambo gani yamekufanya uchelewe kuoa au kuolewa kutokana na umri wako?

Mimi hata sijui nakoseaga wapi.
Sipatagi mtu serious kabisa unakuta inafika mahali unaona kabisa hapa tunapotezeana tu muda mana hakuna uelekeo.
Mtu unakuwa unafanya mahusiano serious kumbe mwenzio anakuchora tu hana mpango.
Nawaonea wivu wenye ndoa zao Ila tu wale wenye ndoa zenye amani na maelewano.
Huwa najifariji pia kuwa bora kuchelewa ukapata mtu sahihi kuliko kuwahi ukaambulia koroma.
Ila haya maisha hayana formula kabisa.
Anyway Mungu yupo.
Sithan kama kuna ndoa yenye amani na maelewano maisha yao yote. Kinachofanyika lazima mmoja ajifanye mjinga na mvumilivu ili maisha yaende
 
Juzi tulikuwa maeneo ya Officers Mess pale masaki tunapata vitu aisee...Kuna ndoa ilikuwa inafungwa palee Kijana ni Mdogoo balaaa yani yule lazima kwao pesaa ipoo so mtaji wa kuanza maisha anaoo...Yule dogo hajafika 25 nina uhakikaa.. Me kaka akee bado nashangaa tuu
 
Sithan kama kuna ndoa yenye amani na maelewano maisha yao yote. Kinachofanyika lazima mmoja ajifanye mjinga na mvumilivu ili maisha yaende
Na ndio mana nikasema maelewano mana mkielewana lazima kuwe na amani.
Sio zike mmepishana kauli kila mmoja anamtunishia mwenzie msuli badala ya mmojawapo kujishusha ili tu kuwe na maelewano.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kila siku tunasikia au kusoma thread za vilio na migogoro ya kwenye ndoa, mara mtu kachapiwa mke, mwingine kagundua kabambikizwa mtoto.. kwa style iyo nani aoe, unaoa upumbavu. Nikitaka nyama nakula, nikitaka maziwa nakunywa sasa nifuge ng'ombe mzima wa kazi gani nipate mbolea au?
 
Mimi hata sijui nakoseaga wapi.
Sipatagi mtu serious kabisa unakuta inafika mahali unaona kabisa hapa tunapotezeana tu muda mana hakuna uelekeo.
Mtu unakuwa unafanya mahusiano serious kumbe mwenzio anakuchora tu hana mpango.
Nawaonea wivu wenye ndoa zao Ila tu wale wenye ndoa zenye amani na maelewano.
Huwa najifariji pia kuwa bora kuchelewa ukapata mtu sahihi kuliko kuwahi ukaambulia koroma.
Ila haya maisha hayana formula kabisa.
Anyway Mungu yupo.
Huwa unakutana na watoto wadogo

Mwanaume aliye serioz hawez fanya makosa kama hayo pindi anapokuwa na mtt mzur kama ww
 
Mimi kwakweli hata sijui nini nataka hata sababu ya msingi sina. Marafiki zangu huwa wananiamba nachagua sana mara siko tayari kufanya naamuzi. Nawaangalia tu maana hata sijui kwakweli.
 
Back
Top Bottom