Mwaka unaisha! Ni mambo gani yamekufanya uchelewe kuoa au kuolewa kutokana na umri wako?

Mahali pekee ambapo waliopo ndani wanatamani watoke nje na waliopo nje wanatamani waingie ndani ni kwenye NDOA
 
Labda ubachagua kweli. Embu jichunguze, style yako ya maisha inaweza fanya mtu asikusogelee
Mimi kwakweli hata sijui nini nataka hata sababu ya msingi sina. Marafiki zangu huwa wananiamba nachagua sana mara siko tayari kufanya naamuzi. Nawaangalia tu maana hata sijui kwakweli.
 
Hiyo kitu kwangu ni mbaya aisee. Sikatai kumsaidia mtu kifedha. Lakinkudanga kwa speed na forcehakuna tofauti na umalaya
Ni kama tunafanana kidogo . mtu mnafaamiana siku 3 ushaombwa had kodi ya nyumba . ni sawa kumsaidia mpenzi wako kwa chochote ila sio ki bint cha siku 3 kuomba zaid ya anachostahili kwa muda husika
 
Labda ubachagua kweli. Embu jichunguze, style yako ya maisha inaweza fanya mtu asikusogelee
Suala sio kusogelewa, sidhani kama niko tayari for that big commitment. And i dont know if i'll ever be.
 
Ninaempenda kutoka moyoni changamoto za maisha yake tu namuombea, God's timing tutavuka hii stage ya ndoa pia naamini, no pressure calm & collected
Hata kwa ugali na chumvi tutaishi sijampendea pesa zake wala mali zake maana hata mizinga hajawahi pigwa miaka ya karibuni
Miaka 5 toka nimjulie hapa hapa jf mmu amenifundisha kujipenda mimi zaidi, kujiamini,kuheshimu na kujali wengine kuwa na uvumilivu nk He inspires me to work hard not settle for less,to think logically and not with emotions first, after my dad he is my role model
Kabisa hapa nimepatikana na nimetulia mwenyewe, everything flows naturally hatutumii nguvu

Eeh nimeshusha povu kama lote point is, usiweke timeline wakati sahihi ukifika utampata mtu sahihi, endelea kutembea kwenye kusudi lako utampata anaefanana na mahitaji yako
Ps:hakuna perfect relationship, ni utayari wenu kusolve issues zenu, mahusiano ni zaidi ya upendo maturity matters too
Wow! Nimeyapata vizuri maneno yako, hongera sana na Mungu awajalie mfikie lengo.
 
Mimi hata sijui nakoseaga wapi.
Sipatagi mtu serious kabisa unakuta inafika mahali unaona kabisa hapa tunapotezeana tu muda mana hakuna uelekeo.
Mtu unakuwa unafanya mahusiano serious kumbe mwenzio anakuchora tu hana mpango.
Nawaonea wivu wenye ndoa zao Ila tu wale wenye ndoa zenye amani na maelewano.
Huwa najifariji pia kuwa bora kuchelewa ukapata mtu sahihi kuliko kuwahi ukaambulia koroma.
Ila haya maisha hayana formula kabisa.
Anyway Mungu yupo.
wewe kama mimi,ngoja tuwasubiri wife material watakuja tu hata baada ya miaka mia
 
Wanawake wanataka sijui niwe mkurugenzi... Jukumu la kutafuta mchumba nimemuaxhia mama yangu
 
Back
Top Bottom