Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,006
- Thread starter
- #181
Napenda kujua kama mlifanikiwa kuingia kwenye ndoaNinaempenda kutoka moyoni changamoto za maisha yake tu namuombea, God's timing tutavuka hii stage ya ndoa pia naamini, no pressure calm & collected
Hata kwa ugali na chumvi tutaishi sijampendea pesa zake wala mali zake maana hata mizinga hajawahi pigwa miaka ya karibuni
Miaka 5 toka nimjulie hapa hapa jf mmu amenifundisha kujipenda mimi zaidi, kujiamini,kuheshimu na kujali wengine kuwa na uvumilivu nk He inspires me to work hard not settle for less,to think logically and not with emotions first, after my dad he is my role model
Kabisa hapa nimepatikana na nimetulia mwenyewe, everything flows naturally hatutumii nguvu
Eeh nimeshusha povu kama lote point is, usiweke timeline wakati sahihi ukifika utampata mtu sahihi, endelea kutembea kwenye kusudi lako utampata anaefanana na mahitaji yako
Ps:hakuna perfect relationship, ni utayari wenu kusolve issues zenu, mahusiano ni zaidi ya upendo maturity matters too