Mwaka unaisha! Ni mambo gani yamekufanya uchelewe kuoa au kuolewa kutokana na umri wako?

Mimi kwakweli hata sijui nini nataka hata sababu ya msingi sina. Marafiki zangu huwa wananiamba nachagua sana mara siko tayari kufanya naamuzi. Nawaangalia tu maana hata sijui kwakweli.
Ukiona hivyo ujue haujawa tayari siku ukiwa tayari utafahamu. Japo unaweza kuwa umechelewa
 
Unayemtaka kumuoa hakupi heshima wala kukujali na usiempenda kutoka moyoni ndiye anayekusumbua hii nayo ni changamoto, usipokuwa makini, utamchukua huyo anakusumbua mradi tu uoe halafu baada ya muda umchoke na kumuanzishia vitimbi baada ya kuoana yule mpendaye ameanza kujileta...bora usioe kuliko kuoa usiyempenda ili mradi uitwe baba fulani maana ndoa sio kuitwa baba tu maana upendo wa dhati ndio kitu muhimu katika kuoa yule utayeishi naye milele.
usiumie kuwa pekeako ..umia kuwa na mtu asie sahihi kwako
 
Kama unaweza fanya haya mambo matatu kiufasaha oa;
1.kumlisha vizuri mkeo
2.Kumvisha vizuri mkeo
3.Kumgonga vizuri mkeo
ila kama bado unasuasua subiri jipange na hayo mambo matatu kwanza.
 
Kama unaweza fanya haya mambo matatu kiufasaha oa;
1.kumlisha vizuri mkeo
2.Kumvisha vizuri mkeo
3.Kumgonga vizuri mkeo
ila kama bado unasuasua subiri jipange na hayo mambo matatu kwanza.
km kuna kaukwel ety mkuu°°°Π
 
Mm nilipanga kuoa ila niliwafatilia mabinti wawili bahati mbaya wote nikakuta washaposwa na kusubiri ndoa tu.
 
Mimi nilitaka kuoa tangu mwezi September Ila kutokana na changa moto za kupunguza wafanyakazi ilifanya nisogeze mbele zaidi Ila nashukuru nilipata kibarua kingine na mwakani mwezi wa 6, 2019 natarajia kufunga ndoa. Na hata ikitokea nikatemwa tena kazini siwezi kuahirisha kuoa tena tafanya hata biashara na maisha yataendelea huku nikitafuta kazi taratibu, nacho shukuru mtu wangu anajua biashara za mtaji mdogo na anaweza kusimamia biashara zangu.
Kwaio wewe unaeandika "tafanya" utaweza kutunza mke kweli?
 
ndoa ngumu nyie mimi saiv nagonga mke wa mtu anakuja kwangu karibu kila siku uyo dem alikua dem wangu wa chuo tukaachana saivi kawa mke wa mtu analalamika kila siku mme wake ana michepuko mtaani nae kaamua mbwai mbwai tu.... sema wake za watu watamu bwana hata mia huyu mwanamke haniombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom