Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,103
- 9,585
Twende kazi, mwaka huu umenunua kitu gani cha thamani zaidi?
Kikubwa uhaiTwende kazi, mwaka huu umenunua kitu gani cha thamani zaidi?
View attachment 3523242
Mbona umesahau kuorodhesha kendree zako na mkd wako?Aliefanikiwa ni Lamomy kwenye uhalifu wa October 29 alionekana akiwa kubeba kabeba gunia la mchele bega la kushoto na mtungi wa gesi mkono wa kulia mali ambazo siyo zake na hajulikani kazitoa wapi, ila alionekana akitokea kwenye stoo iliyovunjwa mlango
NakubaliKikubwa uhai
🙏🏾🙏🏾Huu ni Mwaka wa ibilisi Acha uende tu,
DJ shikilia hapoLengo kuu ilikuwa ni kuoa na nimefanikiwa. Kwenu studio