No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
1.Kama umezoea kuombaomba pesa bila kufanya kazi ukitegemea uzuri wako.
2.Kama umezoea kulialia eti kazi hakuna,wakati unalipa kodi kila siku.
3.Kama hiyo degree yako uliyochukua pale mlimani au popote unaona ndio kila kitu,wakati std7 wapo kitaa wanatuma watu km wewe.
4.Kama unaingia kwenye ndoa ukitegemea kutoka kimaisha badala kujenga familia.
5.unaendelea kutafuta mwanaume wa type yako wakati unazeeka.
6.Kama kuacha na kuachika unaona fashion.
7.Kama akili ipo sensitive sana na mambo ya NGONO kuliko hata maisha yako.
8.Kama mpaka sasa bado unaishi maisha ya watu wengine,we ni kuiga tu hakuna ubunifu.
9.Kama mpaka sasa unaishi kwa kubebwabebwa tu...
10.Ya mwisho siwezi kuitaja ntaambiwa natukana,naomba Wana J.F wenzangu mnisaidie......