Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 13,401
- 9,787
Huyu wizara yake ya sayansi na technology hakuna alichofanya kupanua technology yeyote nchi haina uwezo hata wa kutengeneza generator made in tanzania atizame nci zingine zinafanyaje Uwaziri sio kwenye kuweka makalio officean Mbolea zinaagizwa vifaa vya kielectronic vinaagizwa nje amekuwa kama ni msimamizi badala ya kuwa wizara ya wagunduzi... Huyu naye ni mzigo aondolewe awekwe mwana sayansi atuendeleze Wagunduzi Sijawahi msikia hata siku moja akisema atamzawadia mgunduzi yeyote kwenye medai ya sayansi na technology zaidi anatoa pikipiki kwa wanabodabodaMatukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kungoka limefunga mwaka vibaya,
WANAOTAJWA KUINGIA:
Habari zinadai kuwa katika fumuafumua inayotarajiwa kufanyika ndani ya baraza hilo, baadhi ya wabunge na manaibu waziri wanatajwa kuingia kwenye baraza hilo.
View attachment 129634
- Mh. Januari Makamba (naibu waziri wa sayansi, teknolojia na elimu ya juu) kuwa waziri kamili,
Je kutakua na mabadiliko katika maendeleo ya nchi hii 2014 au yale yale.....