kaangwa
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 644
- 192
Mkuu umesema kweli,serikali ingebinafsishwa,ingekuwa safi sana.Mashirika yote yaliyobinafsishwa yanaendeshwa na watanzania hao hao kwa ufanisi,lakini taasisi za umma zinazoingiliwa na viongozi wa serikali kimaamuzi zinasuasua.Kuliko kuwateua hao mwaziri wapya ni bora kuajiri mawaziri kutoka nje,tutajikaza tusile kama tuvyojikaza kipindi cha ununuzi wa ndege ya rais ili tutakao wajiri waje waturekebishie taasisi zetu na nchi kwa ujumla tofauti na hapo ni kupiga chama chini once for all,ccm hakuna viongozi bali wapiga deal tu