piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 612
Savimbi!!?!! Mmmmm
Inasemekana kafariki leo mkuu
Savimbi!!?!! Mmmmm
Mwana Nchemba anafaa sana kuwa waziri,Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kungoka limefunga mwaka vibaya,WALIONG'OKA
- Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
- Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
- Waziri wa i na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.
- Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk David Mathayo.
WANAOKALIA KUTI KAVU:
Aidha, kufuatia sekeseke hilo, vyanzo mbalimbali vya habari za ndani vimesema kuwa, mawaziri wanaotajwa kukalia kuti kavu katika nafasi zao ni pamoja na
- Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe
- Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Jumanne Kawambwa
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Hawa Abdulkadil Ghasia
- Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa
WANAOTAJWA KUINGIA:
Habari zinadai kuwa katika fumuafumua inayotarajiwa kufanyika ndani ya baraza hilo, baadhi ya wabunge na manaibu waziri wanatajwa kuingia kwenye baraza hilo.
View attachment 129634
- Dk. Asha-Rose Mitengeti Migiro (Mb kuteuliwa) kuwa waziri
- Mh. Januari Makamba (naibu waziri wa sayansi, teknolojia na elimu ya juu) kuwa waziri kamili,
- Mh. Mwiguru Nchemba (Mb) kuwa waziri,
- Mh. Peter Serukamba (Mb) kuwa waziri,
- Mh. Faustine Ndungulile (Mb) kuwa waziri
- Mh. Jenister Joachim Mhagama (Mb) kuwa waziri.
Je kutakua na mabadiliko katika maendeleo ya nchi hii 2014 au yale yale.....
Hapo ni tetesi tu zakuteuliwa mshaanza kutokwaa povu ,akiteuliwa rasmi ufipa hapatakalikausishangai nchemba kuwa wazir,kwan serikalin tunapeana uongoz kulipana fadhila na nchemba kaifanyia nyinyiem makubwa.
Duuuu!!!!yaani huyu jamaaa ana roho ya kishetani, hana utu hata kidogo.
No Filikunjombe? No Lowassa? no Kangi? YOU MUST BE KIDDING
No Filikunjombe? No Lowassa? no Kangi? YOU MUST BE KIDDING
Nafikiri Mgimwa hali yake haiwezi kumruhusu kuendelea na wadhifa wa uwaziri wa Fedha.
Bado yupo SA akipata matibabu.
Atuliwe mtu mwingine tu au kutoka hapo hapo Hazina.
Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kungoka limefunga mwaka vibaya,WALIONG'OKA
- Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
- Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
- Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.
- Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk David Mathayo.
WANAOKALIA KUTI KAVU:
Aidha, kufuatia sekeseke hilo, vyanzo mbalimbali vya habari za ndani vimesema kuwa, mawaziri wanaotajwa kukalia kuti kavu katika nafasi zao ni pamoja na
- Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe
- Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Jumanne Kawambwa
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Hawa Abdulkadil Ghasia
- Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa
WANAOTAJWA KUINGIA:
Habari zinadai kuwa katika fumuafumua inayotarajiwa kufanyika ndani ya baraza hilo, baadhi ya wabunge na manaibu waziri wanatajwa kuingia kwenye baraza hilo.
View attachment 129634
- Dk. Asha-Rose Mitengeti Migiro (Mb kuteuliwa) kuwa waziri
- Mh. Januari Makamba (naibu waziri wa sayansi, teknolojia na elimu ya juu) kuwa waziri kamili,
- Mh. Mwiguru Nchemba (Mb) kuwa waziri,
- Mh. Peter Serukamba (Mb) kuwa waziri,
- Mh. Faustine Ndungulile (Mb) kuwa waziri
- Mh. Jenister Joachim Mhagama (Mb) kuwa waziri.
Je kutakua na mabadiliko katika maendeleo ya nchi hii 2014 au yale yale.....
Kwani chama ndiyo kinaongoza au watu ndiyo wanaongoza.
du aliyetabiri kweli noma hadi watakao rip.....
wanaokalia kuti kavu:
aidha, kufuatia sekeseke hilo, vyanzo mbalimbali vya habari za ndani vimesema kuwa, mawaziri wanaotajwa kukalia kuti kavu katika nafasi zao ni pamoja na
...
- waziri wa maji, prof. Jumanne maghembe
- waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, dk. Shukuru jumanne kawambwa
- waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, tawala za mikoa na serikali za mitaa (tamisemi), mh. Hawa abdulkadil ghasia
- waziri wa fedha, mipango na uchumi, dk. William mgimwa