Mwaka mpya mawaziri wapya hawa hapa, kutangazwa hivi karibuni

Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kung’oka limefunga mwaka vibaya,

WANAOTAJWA KUINGIA
:
Habari zinadai kuwa katika fumuafumua inayotarajiwa kufanyika ndani ya baraza hilo, baadhi ya wabunge na manaibu waziri wanatajwa kuingia kwenye baraza hilo.

  1. Mh. Januari Makamba (naibu waziri wa sayansi, teknolojia na elimu ya juu) kuwa waziri kamili,
View attachment 129634

Je kutakua na mabadiliko katika maendeleo ya nchi hii 2014 au yale yale.....
Huyu wizara yake ya sayansi na technology hakuna alichofanya kupanua technology yeyote nchi haina uwezo hata wa kutengeneza generator made in tanzania atizame nci zingine zinafanyaje Uwaziri sio kwenye kuweka makalio officean Mbolea zinaagizwa vifaa vya kielectronic vinaagizwa nje amekuwa kama ni msimamizi badala ya kuwa wizara ya wagunduzi... Huyu naye ni mzigo aondolewe awekwe mwana sayansi atuendeleze Wagunduzi Sijawahi msikia hata siku moja akisema atamzawadia mgunduzi yeyote kwenye medai ya sayansi na technology zaidi anatoa pikipiki kwa wanabodaboda
 
Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kung’oka limefunga mwaka vibaya,

WALIONG'OKA

  1. Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
  2. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
  3. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.
  4. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk David Mathayo.

WANAOKALIA KUTI KAVU:
Aidha, kufuatia sekeseke hilo, vyanzo mbalimbali vya habari za ndani vimesema kuwa, mawaziri wanaotajwa kukalia kuti kavu katika nafasi zao ni pamoja na

  1. Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe
  2. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Jumanne Kawambwa
  3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Hawa Abdulkadil Ghasia
  4. Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa

WANAOTAJWA KUINGIA
:
Habari zinadai kuwa katika fumuafumua inayotarajiwa kufanyika ndani ya baraza hilo, baadhi ya wabunge na manaibu waziri wanatajwa kuingia kwenye baraza hilo.
  1. Dk. Asha-Rose Mitengeti Migiro (Mb kuteuliwa) kuwa waziri
  2. Mh. Januari Makamba (naibu waziri wa sayansi, teknolojia na elimu ya juu) kuwa waziri kamili,
  3. Mh. Mwiguru Nchemba (Mb) kuwa waziri,
  4. Mh. Peter Serukamba (Mb) kuwa waziri,
  5. Mh. Faustine Ndungulile (Mb) kuwa waziri
  6. Mh. Jenister Joachim Mhagama (Mb) kuwa waziri.
View attachment 129634

Je kutakua na mabadiliko katika maendeleo ya nchi hii 2014 au yale yale.....

Yaaani Peter serukamba mzee wa f**ck you awe waziri!? Yote hayo ni 9, kumi ni hadi yule mama Jenister Mhagama!!?
Aaah jamani mbona mtakuwa hamtutendei haki watanzania.
 
Na huyu jee,,!!!???
 
Attachments

  • 1388661930094.jpg
    1388661930094.jpg
    35.9 KB · Views: 137
Mkuu Kifulambute hukuwa na habari????? Siwezi kukurupuka aisee!!!

Hivi kwani wizara haiwezi kaa vacant hadi baada ya uchaguzi 2015, siinawatendaji wengine? Mi naona ni kuongeza gharama tu mwakani tena tunaweka wengine...kama shule mwl mkuu hayupo accademic anasimamia mambo yanakwenda..hata wizara, Gavana yupo, katibu wa wizara na watenfaji wengine wapo ya nini kuchagua walaji wengine. Frankly ccm kwa sasa ina spare moja tu nayo ni migiro sasa sijui wamweke awe waziri wa fedha maliasili na ulinzi? Mi naona hivyo halafu kuna waziri asiye na wizara maalum si afanye kazi?
 
Last edited by a moderator:
Kama Makamba amefanya nini? mbona historical background yake kielimu ni kuungaunga? Nchi hii ni chongo naapa!:A S wink:
 
Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kung’oka limefunga mwaka vibaya,

WALIONG'OKA

  1. Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
  2. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
  3. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.
  4. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk David Mathayo.

WANAOKALIA KUTI KAVU:
Aidha, kufuatia sekeseke hilo, vyanzo mbalimbali vya habari za ndani vimese [/QOUTE]VERY POOR NEW CABiNET NEVER EVER HAPPEN!
 
Mwigulu apewe wizara ya mambo ya ndani!!mikutano ya chadema itapigwa virungu mpaka basi
 
Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kung’oka limefunga mwaka vibaya,

WALIONG'OKA

  1. Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
  2. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
  3. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.
  4. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk David Mathayo.

WANAOKALIA KUTI KAVU:
Aidha, kufuatia sekeseke hilo, vyanzo mbalimbali vya habari za ndani vimesema kuwa, mawaziri wanaotajwa kukalia kuti kavu katika nafasi zao ni pamoja na

  1. Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe
  2. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Jumanne Kawambwa
  3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Hawa Abdulkadil Ghasia
  4. Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa

WANAOTAJWA KUINGIA
:
Habari zinadai kuwa katika fumuafumua inayotarajiwa kufanyika ndani ya baraza hilo, baadhi ya wabunge na manaibu waziri wanatajwa kuingia kwenye baraza hilo.
  1. Dk. Asha-Rose Mitengeti Migiro (Mb kuteuliwa) kuwa waziri
  2. Mh. Januari Makamba (naibu waziri wa sayansi, teknolojia na elimu ya juu) kuwa waziri kamili,
  3. Mh. Mwiguru Nchemba (Mb) kuwa waziri,
  4. Mh. Peter Serukamba (Mb) kuwa waziri,
  5. Mh. Faustine Ndungulile (Mb) kuwa waziri
  6. Mh. Jenister Joachim Mhagama (Mb) kuwa waziri.
View attachment 129634

Je kutakua na mabadiliko katika maendeleo ya nchi hii 2014 au yale yale.....

Kabla hawajaingia waseme watafanya nini katika hizo wizara. Siyo kuchaguana tu jamani. Let them come with their strategy/manifesto and if they fail to implement what they promised, waachie ngazi... Waziri anachaguliwa matatizo ya maji ndio yanaongezeka, umeme usiseme...Si afadhali wasiwepo???
 
Huyo Mama Migiro namkubali manake kapewa ubunge fasta fasta!!!!! maandalizi ya uwaziri, lakini atachukua nafasi gani? mambo ya nje ingemfaa zaidi lakini kule kuna shem......

Unamkubali kwa lipi?? Labda Tz, kwa namna tulivyozoea, UN hawana mchezo wa kuigiza
 
Back
Top Bottom