Unajiumiza bure roho yako daima think positive na tarajia yaliyo mema sasa hii mambo ya kuunda makitu ya kuumiza halafu yanakuumiza mwenyewe si njema aisee. Acha kufikiia mabaya na kuwa mpole mpaka utakapopewa maelezo iwapo nayo utayaomba kwa upole na unyenyekevu . Kumbuka hasira siku zote ni hasara.Dah...Roho inaniuma sana.
Kumbe kweli bado upo macho mpaka mida hii,pole uwe na amani, atarudi tu,hayo ni
mambo ya kusherekea mwaka mpya huenda yuko sehemu yenye kelele,na ukizingatia haupo nyumbani,labda anaona akirudi mapema ataboreka,na unajua sehemu nyingine hazina saa za ukutani hivyo akajikuta amechelewa.
Unajiumiza bure roho yako daima think positive na tarajia yaliyo mema sasa hii mambo ya kuunda makitu ya kuumiza halafu yanakuumiza mwenyewe si njema aisee. Acha kufikiia mabaya na kuwa mpole mpaka utakapopewa maelezo iwapo nayo utayaomba kwa upole na unyenyekevu . Kumbuka hasira siku zote ni hasara.
Asante kama umeelewa. Nakutakia heri ya mwaka mpya.Nimekuelewa mpenzi...Labda kweli ana sababu za msingi...
atarudi tu uwe na amani,sisehemu zote za starehe zina saa.na kama zipo mara nyingi zinatumika wakati wa kusubiria mwaka,ukishapita basi hakuna anayeangalia saa inategemeana na kampani aliyonayo,hasa ukizingatia wewe haupo nyumbani.Si arudi nyumbani atumie landline.
atarudi tu uwe na amani,sisehemu zote za starehe zina saa.na kama zipo mara nyingi zinatumika wakati wa kusubiria mwaka,ukishapita basi hakuna anayeangalia saa inategemeana na kampani aliyonayo,hasa ukizingatia wewe haupo nyumbani.
ok,nakutakia mwaka mpya mwema.Sawa...Ngoja nimsikilizie
nakupa zawadi ya wimbo huu utakufariji rafikiThe same to you my dear...
My husband hapokei simu yangu jamanii...Nahisi naibiwa