Weewe mwaka mpya unafanya nini huko chuo huendi kwa mumeo? Kwani mna paper tarehe 2 jan? Maana lecture wengine wanamakusudi.
Pole by the way hubby atakuwa yuko kwenye moja mbili anapoteza mawazo maana anaona kirudi hone mke hayupo anaweza kymbaka house girl buree. Na usijifariji kuifungia simu kabatini amechukia kwa nini hujaenda home mkala wote mwaka mpya. La kwako hilo limalize mwenyewe, kama huna test wahi hone usiku huu.
Wanayme akili zao ndogo sana wakishakunywa zanzi wahi mamaa kabla hakujakucha.
Ahsante...Mwaka mpya huu umeniijia vibaya
Si unajua mambo ya sherehe au yuko kwenye maombi hivyo hawezi kupokea cm na leo kaamua kufanya sala za ukweli hivyo no phone.Kwanini iwe leo tu?Mbona siku zingine anaisikia?
Jamaniii sasa ghafla simu ikawa haipokelewi basi piga moyo konde kesho muulize kwa upole atakujuza kwanini hakupokea cm yako. Lkn ukijifanya una hasira basi sahau hutaambiwa chochote bora uwe mpole tu kumbuka dawa ya moto sio motoAngeniaga basi manake niliongea nae mida ya saa 4 usiku.
Jamaniii sasa ghafla simu ikawa haipokelewi basi piga moyo konde kesho muulize kwa upole atakujuza kwanini hakupokea cm yako. Lkn ukijifanya una hasira basi sahau hutaambiwa chochote bora uwe mpole tu kumbuka dawa ya moto sio moto
Hapokei...Nimetuma sms weee sijajibiwa
sasa hilo la mwanaume kuanza kuomba simu ndo mwanzo wa majanga,maana anaweza kumwomba mdada wa kaunta afu yule dada akajiokotea kirahisi.Namba yangu anaifahamu vizuri...angenipigia hata na simu nyingine anieleze hayo kuliko kuniweka roho juu.