Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
Pogba tangu asajiliwe hajafunga goli so ameamua tu kupiga miringoti ili awafurahishe wasiojua mpira goli
Huu mwaka mmoja tokea awe madarakani umetuonyesha na mengi na sasa tunaweza walau hata kuanza kuhitimisha kuwa kumbe wala hayuko tofauti kivile na wengine na huenda akawa ni bomu kabisa kuliko wote waliomtangulia.
Aliingia kwa mikwara ya kufa mtu. Akafutilia mbali sherehe za uhuru [2015] katika lengo la kuheshimu vipaumbele.
Sherehe za muungano [2016] nazo zikafutwa na pesa ambazo zingegharamia akaagiza ziende kwenye upanuzi wa barabara ya uwanja wa ndege wa Mwanza.
Pia akabana safari za kipuuzi puuzi za kwenda nchi za nje za watumishi wa umma.
Yote hayo pamoja na jitihada za kupambana na ufisadi yalikuwa ni nuru njema kwa wengi. Baadhi yetu tukadhani labda kweli tupo kwenye zama mpya...lakini wengine tukajipa muda maana muda huonyesha mengi.
Sasa leo yamekuja haya ya kufanyia mikutano ya CCM ikulu.
Tafadhali sana MTUKUFU rais....like....seriously? Kwa nini msifanyie hayo mamikutano yenu huko Lumumba?
Wahshi kabisa....you will go down as the worst president in the history of our existence...past...present...and future!
Mikwara yote ile kumbe hamna lolote...bora hata gesi ya CocaCola.
Ishu sio kuwa upande gani. Mtaani huku joto la jiwe tunalipata wote.Mkuu we ni ngumu mtu kukuelewa upo upande gani,,,,[HASHTAG]#sigaraKali[/HASHTAG]
Unapotosha umma..una uhakika pogba hajawahi funga goli tangu asajiliwe na Man U??Pogba tangu asajiliwe hajafunga goli so ameamua tu kupiga miringoti ili awafurahishe wasiojua mpira goli
Mkuu we ni ngumu mtu kukuelewa upo upande gani,,,,[HASHTAG]#sigaraKali[/HASHTAG]
Tanzania kuna vituko!
Kwamba kufanyia mikutano Ikulu anakuwa ''the worst president in the history of our existence...past...present...and future!''
Wale Marais ambao walifungua makampuni na kupanga dili za kifisadi wakiwa Ikulu sijui kwa kiingereza tutawapa maneno yapi ya kiingereza.
Ngosha taratibu, sitaki nikukose ujue...
Mtukufu wetu hapendi kukosolewa zaidi ya nyimbo na mapambio ya kumsifu
Ashasema hajaribiwi ujue... Ohoo
Kwani kufanya mikutano ya CCM ikulu imeanza kwenye awamu hii tu?Sasa leo yamekuja haya ya kufanyia mikutano ya CCM ikulu.
Yes,Mambo yenu ya ki CCM kafanyieni Lumumba huko, ebo!