C chama JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 8,001 Reaction score 2,418 Dec 20, 2012 #21 HYGEIA said: Hapana chama. Kwa nini unataja majina ya wadau wa siasa hapa chit-chat? Hata wewe njaa unayo.Au huna tumbo? Click to expand... Mkuu HYGEIA Njaa ninayo ila najilisha mwenyewe sitegemei kumpigia magoti mwanaume mwenzangu kumuomba kula; hao ninao wataja ni vikaragosi vya siasa vinavyotumiwa kwa njaa zao! Chama Gongo la mboto DSM Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
HYGEIA said: Hapana chama. Kwa nini unataja majina ya wadau wa siasa hapa chit-chat? Hata wewe njaa unayo.Au huna tumbo? Click to expand... Mkuu HYGEIA Njaa ninayo ila najilisha mwenyewe sitegemei kumpigia magoti mwanaume mwenzangu kumuomba kula; hao ninao wataja ni vikaragosi vya siasa vinavyotumiwa kwa njaa zao! Chama Gongo la mboto DSM