Umemaliza mtu kasoma O'level tu Ada Jumla 2.8M anaenda Chuo tena cha Public ambapo Ada 1.4M analialia anataka mkopo, Hii issue inatesa sana mtumishi basi tuKama unawezs jisomeshe bila huo mkopo,badae utafurahi.
Saivi mfumo upo makini usipo kidhi vigezo unakukataa kabla hujafika popoteUkitoka diploma kwenda Bach, inatakiwa diploma yako isiwe na 3yrs tangu umalize ndio uwe na uhalali kuomba mkopo. Uwenda wamebadili tena.. hawaeleweki km pishi za mchele, poleni
Hiyo ni special case na ni wachache sana mkuuWengine wamesoma kwa ufadhili
POLE SANA KWAKE MKUU WANGUNaelewa kuna ndugu yangu nimemfanyia application nime atach death certificate ila hajapata na alifadhiliwa diploma yake na mtu tu na pia kamaliza mwaka jana
Death certificate sio kigezo cha kupata mkopo pekee yake, kuna mambo mengi yanaangaliwa halaf hio kusema mtu binafs kamfadhil masomo ni uongo wa wazi, kama taasisi ndo imemfadhil angepata mchana kweupeNaelewa kuna ndugu yangu nimemfanyia application nime atach death certificate ila hajapata na alifadhiliwa diploma yake na mtu tu na pia kamaliza mwaka jana
Hii mikopo utaifurahia ukiwa unasoma ila day unapata ajira ndio utajua hujui.Umemaliza mtu kasoma O'level tu Ada Jumla 2.8M anaenda Chuo tena cha Public ambapo Ada 1.4M analialia anataka mkopo, Hii issue inatesa sana mtumishi basi tu
Death certificate sio kigezo cha kupata mkopo pekee yake, kuna mambo mengi yanaangaliwa halaf hio kusema mtu binafs kamfadhil masomo ni uongo wa wazi, kama taasisi ndo imemfadhil angepata mchana kweupe
Tatzo vijana mmezid uongo mnaua wazaz wenu wakiwa wazma ili mpate mkopo na michezo hiyo wanaijua hata wao, kwahyo wanaangalia factors zaid ya 3 ndo wakupe sio Moja
inaonekana unamfahamu ndugu yangu kuliko mimi mwenyewe .ila point yako nimeipata acha niende heslb tujue tunafanyaje kuhusu mfadhili wake kusajiliwa maana ansomesha watu kibao tuDeath certificate sio kigezo cha kupata mkopo pekee yake, kuna mambo mengi yanaangaliwa halaf hio kusema mtu binafs kamfadhil masomo ni uongo wa wazi, kama taasisi ndo imemfadhil angepata mchana kweupe
Tatzo vijana mmezid uongo mnaua wazaz wenu wakiwa wazma ili mpate mkopo na michezo hiyo wanaijua hata wao, kwahyo wanaangalia factors zaid ya 3 ndo wakupe sio Moja tu
Nchi ishakua ya kingesengesema Tasaf Only ukitaka mkopo jiunge Tasaf haraka sana wanakupa mkopoKila mtu wa diploma ninayr mfahamu hamna aliyepata hata aliye weka cheti cha kifo . Ni kazi kweli kweli kama mikopo ni ya form six tu waseme
Kama kasajiliwa Saw, lakn kuhusu kumjua ndugu yako hizo shida zako mm nimesema taratibu zilivyo na ujanja wa kiboya wanaofanya waombajinaonekana unamfahamu ndugu yangu kuliko mimi mwenyewe .ila point yako nimeipata acha niende heslb tujue tunafanyaje kuhusu mfadhili wake kusajiliwa maana ansomesha watu kibao tu