Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,553
- 35,424
nimecheka mpaka basia duh kazi ipokuna vituko sana
wenyewe wamefunga milango hawapo! je kulia kabla msiba haujatokea? unajuaje kama utatokea? ukianza wewe je inakuwaje?
nimecheka mpaka basia duh kazi ipo
atakuwa nayo 64Sijui huyo jamaa ana meno sitini na sita?? Hata mimi nimecheka sana hiyo
kwa bahati mbaya watu wengine wamesomea sanaa za MAIGIZO !
ha ha ha hahakazi ipo sasa hahahahah nimependa pole anaposema peoplez power kwa uchungu kabisa
Tehe tehe tehe!!!ha ha ahahahaaa