Mwaka huu sitoi mchango wa harusi

mimi simchangii mtu.. sababu sikumchangisha mtu... sina deni na mtu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya.
 
Maisha ni kutegemeana changia kama iko ndan ya uwezo wako

[emoji375][emoji375]
 
na ww siku ukitaka kuoa, hakikisha utapambana na hali yako, na uzuri nakujua vzr ole wako upitishe bakuri lako kwangu, utaniona jinsi ntakavyo kunyea!![emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia sichangii mtu hata mia na shughuli yangu ikifika naandaa mill 1.5 baada ya kanisani kutakua na wedding dinner naalika watu wangu wa karibu tu kula bia na nyama shughuli imekata
 
na ww siku ukitaka kuoa, hakikisha utapambana na hali yako, na uzuri nakujua vzr ole wako upitishe bakuri lako kwangu, utaniona jinsi ntakavyo kunyea!![emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine nimemchangia mtu mwaka jana mwezi wa 11 harusi ilifanyika lkn leo hii napata taarifa kuwa wameachana, hiyo laki 1 niliyotoa km ningeamua kusaidia wasiojiweza hata kuwanunulia chakula nisingekuwa na thawabu kwa Mungu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitoa usikumbuke, kwan before hautoa hiyo hela uliwahi saidia wasio jiweza wangp!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…