Mwaka Huu Sijui Nikufanyie Nini?

Mwaka Huu Sijui Nikufanyie Nini?

Ninunulie gagulo!!

KAMA HILO???
1268887_orig.jpg
 
sikiliza mkuu, kama ni kweli mmejenga nyumba 3 na umempa mtaji wa biashara anafanya vizuri inaonyesha familia yenu ina maelewano mazuri na pia mna kipato kizuri..

sasa kama hutajali chukua ikizo ya siku 5 mpeleke wife mapumzikoni dubai, au nchi yeyote ya karibu ambayo hamjawahi kwenda, huko umuweke kwenye hoteli nzuri, na pia uwe karibu nae muda wote..na mkiwa huko nunua zawadi yeyote mfano cheni, pete, nguo..nk nzuri ya quality halafu umpe huko huko kwa surprise..plus kadi na kabarua ndani ulichoandika kwa mkono wako how much you appreciate her efforts and how much you love her..

this will remain in her heart for years na kila mara akivaa hiyo nguo,kiatu au hereni atakuwa anakukumbuka na kukumbuka special vacation uliyomuandalia..na itaongeza mapenzi zaidi..

Mkuu Kamusi:
Hapo umenena. Haya mambo hayana mwenyewe bwana. Hili lako neno haswa. Ahsante saana.
Ngoja nijapange Mungu akijaalia tutoke hata hapo Dubai wankoenda watu kila leo. Ahsante tena na tena
 
Back
Top Bottom