Mwenyeminazi
Senior Member
- May 24, 2012
- 194
- 67
Wadau katika kushauriana mabaya na mazuri hapa JF nawasalimu na nafurahi woote tumeuona huu mwaka. waliotangulia mbele za haki basi mola awarehemu.
Leo naomba munishauri nini nimfanyie mke wangu ajue kuwa hapa ubavuni kwangu ndipo alipotoka yaani nampenda kuliko maelezo. Tangu tufunge ndoa tumefanikiwa kujenga nyuma tatu na magari mawili mazuri tu. Mradi wa biashara nilimpa na sasa uko pouwa na kipato si hapa tunaringa mjini.
Sasa nimpe zawadi gani afurahi mwaka huu. Juzi nikaona shanga za kiunoni nikataka ninunue kama zawadi nimfurahishe nikawaza na sikupata Jibu bali nilibaki na maswali hivi nitaanzaje kumpa. Maana nyie wanawake hamna dogo.
Sasa wanawake nyie Mnapenda zawadi gani muahidiwe kwa mwaka huu wa 2014. katika hizo zenu nitachagua moja nitatekeleza.
Nishaurini mimi MWENYEMINAZI