Mwaka huu ndo nimejua kuwa CCM ni chama pekee kinachosimamia agenda ya Amani ya Tanzania yetu. Hongera CCM kwa hili

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,652
Reaction score
2,696
Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado.

Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu nchini, kipo radhi kikeshe bunge la ulaya kwa lengo la kuhatarisha amani ya Tanzania yetu. Ni vema wakajua kuwa Tanzania ni nchi huru hakuna nchi ya kuingilia shughuli zetu.

Nichukue nafasi hii kukipongeza chama changu cha CCM kwa kusimamia Amani ya Tanzania yetu, CCM chama pekee kinachofanya kazi zake za siasa huku kikilenga ustawi wa amani yetu nchini.
Hongera sana mwenyekiti wa chama cha CCM na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan, kwa kusimamia kwa nguvu zote amani ya Tanzania yetu.
God bless our President Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Mungu ibariki CCM
Mungu kibariki Tanzania.
 
Mungu kibaliki Tanzania.
20251214_073413.jpg
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendeleza uatwala wa kidhalimu. CCM hii haina tofauti na Bokoharam
 
Hivi kama Kuku wa kisasa, wale wa siku 28, pia Kuna watu wa kisasa ambao wanatunzwa kama Kuku wa kisasa!??maana najiona wa kienyeji sana, wanavowaza wenzangu mbona mi nashindwa kabisa,oopops
 
Nichukue nafasi hii kukipongeza chama changu cha CCM kwa kusimamia Amani ya Tanzania yetu,
Kwani ni chama gani kilisimamia haya mauaji ya kikatili na ya kutisha ya wananchi wa Tanganyika?

Kuna hotuba moja ya stupid former president wa nchi hii wa kutokea Msoga, nanukuu, "wale wazungu wana pesa nyingi, ukiongea nao vizuri wanakusaidia". Mwisho wa kunukuu.
Wewe leo hii unakuja na propaganda zako wakati CCM ndio agents wa mabeberu nyuma ya tent. Sisi sio wajinga bhana.
 
Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado.

Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu nchini, kipo radhi kikeshe bunge la ulaya kwa lengo la kuhatarisha amani ya Tanzania yetu. Ni vema wakajua kuwa Tanzania ni nchi huru hakuna nchi ya kuingilia shughuli zetu.

Nichukue nafasi hii kukipongeza chama changu cha CCM kwa kusimamia Amani ya Tanzania yetu, CCM chama pekee kinachofanya kazi zake za siasa huku kikilenga ustawi wa amani yetu nchini.
Hongera sana mwenyekiti wa chama cha CCM na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan, kwa kusimamia kwa nguvu zote amani ya Tanzania yetu.
God bless our President Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Mungu ibariki CCM
Mungu kibariki Tanzania.
Hongereni sana kuua watu zaidi ya elfu10,wapinzani na wakosoaji wa serikali Nk sio kazi nyepesi.hakika hicho chama hakina mwendo Mungu ameshakilaani soon wataachia madaraka.
 
[SIZE=7]Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana[/SIZE]

[SIZE=7]epuka mambo yote ambayo yatakusababbishia matatizo[/SIZE]
 
Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado.

Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu nchini, kipo radhi kikeshe bunge la ulaya kwa lengo la kuhatarisha amani ya Tanzania yetu. Ni vema wakajua kuwa Tanzania ni nchi huru hakuna nchi ya kuingilia shughuli zetu.

Nichukue nafasi hii kukipongeza chama changu cha CCM kwa kusimamia Amani ya Tanzania yetu, CCM chama pekee kinachofanya kazi zake za siasa huku kikilenga ustawi wa amani yetu nchini.
Hongera sana mwenyekiti wa chama cha CCM na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan, kwa kusimamia kwa nguvu zote amani ya Tanzania yetu.
God bless our President Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Mungu ibariki CCM
Mungu kibariki Tanzania.
Pole sana, Chadema inakukosesha sana amani, bahati mbaya chadema ni kama maji, usipoyaoga utayanywa. CCM imeshajifia, haina tena mvuto wala ushawishi, imebakiza kutumia bunduki tu ili kubaki madarakani. Hata ninyi mnajua hii ni serikali haramu haikuchaguliwa na wananchi, mko hapo kwa msaada wa mtutu wa bunduki. Mnahubiri amani kuliko haki, ili mnapoteka, mnapofira, mnapobaka, mnapoua, mnauza rasilimali za nchi watu wakae kimya kwa kigezo kwamba wanalinda amani. Sasa hizo zama zimeshapitwa na wakati, watanzania wa sasa sio wa mwaka 87, wanaelewa na wanona kinachoendelea. Hizo damu mlizokunywa zitawapelekea moto sana.
 
Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado.

Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu nchini, kipo radhi kikeshe bunge la ulaya kwa lengo la kuhatarisha amani ya Tanzania yetu. Ni vema wakajua kuwa Tanzania ni nchi huru hakuna nchi ya kuingilia shughuli zetu.

Nichukue nafasi hii kukipongeza chama changu cha CCM kwa kusimamia Amani ya Tanzania yetu, CCM chama pekee kinachofanya kazi zake za siasa huku kikilenga ustawi wa amani yetu nchini.
Hongera sana mwenyekiti wa chama cha CCM na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan, kwa kusimamia kwa nguvu zote amani ya Tanzania yetu.
God bless our President Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Mungu ibariki CCM
Mungu kibariki Tanzania.
kwenye swala la amani, CCM ni kiapo icho, KWA GHARAMA YOYOTE
 
Back
Top Bottom