Nadhani mkulu anapailia na yeye apewe moja kule nai.
Nadhani mkulu anapailia na yeye apewe moja kule nai.
Si unajua tena ZD!Umeotea kweli
To be reverted in near future...
Kwa waliosoma historia ya Bagamoyo, hili ni tusi kubwa sana!!
Mhesh japo Geneus alipokuwa shuleni, mbele ya wazee kasahau kukumbuka amepewa barabara au daraja. namsifu kwa kiswahili na hotuba fupi zisizo na taarabu kama za Wa Tz. Long live MK.
Wajameni naomba mnisaidie maana sielewi hapo. Hivi Barabara ya Bagamoyo kubadilishwa jina na kuitwa Jina hilo la Rais wa nch jirani kunaleta maaana gani? Huyo Rais wa Jirani katufanyia nini kikubwa hadi tumpe jina kwenye barabara zetu? Vigezo gani vinahusika kutoa majina ya Barabara zetu? nielimisheni wandugu.
Nadhani mkulu anapalilia na yeye apewe moja kule nai.
To be reverted in near future...
Kwa waliosoma historia ya Bagamoyo, hili ni tusi kubwa sana!!
Utakuwa unapita Mwai Kibaki road kwenda mji wa kihistoria wa Bagamoyo.To be reverted in near future...
Kwa waliosoma historia ya Bagamoyo, hili ni tusi kubwa sana!!