cosa nostra JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 1,773 Reaction score 1,809 Jan 16, 2017 #1 Naona hii kitu kwenye post za watu ina maanisha nini "mwafwaa?"
belionea JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 1,053 Reaction score 923 Jan 16, 2017 #2 MWAFWA means mmekufa
cosa nostra JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 1,773 Reaction score 1,809 Jan 17, 2017 Thread starter #4 ikimaanisha nini sasa nje ya box sasa
C chiral center Member Joined Jan 8, 2017 Posts 8 Reaction score 1 Jan 18, 2017 #5 Nje ya box inamaanisha, mtatesekaa/ cha moto mtakiona/ mtakoma/ nk
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,694 Reaction score 9,580 Jan 18, 2017 #6 Mwafaa is present continuous i.e. mnakufaa.
Rk10 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 1,216 Reaction score 1,375 Jan 18, 2017 #7 Ni neno la kejeli sana huko huayani ikimaanisha mtateseka hadi kufa
cosa nostra JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 1,773 Reaction score 1,809 Jan 18, 2017 Thread starter #8 asanteni wadau nimeipata vizuri sana na nimeongezea majibu mengine kichwani
gstar JF-Expert Member Joined Jun 19, 2011 Posts 814 Reaction score 1,490 Jan 31, 2017 #9 Je hakuna kiongozi yoyote mkubwa wa serikali aliyewahi kusema hilineno [HASHTAG]#mwafaa[/HASHTAG]