cosa nostra JF-Expert Member Sep 17, 2010 1,773 1,805 Jan 16, 2017 #1 Naona hii kitu kwenye post za watu ina maanisha nini "mwafwaa?"
cosa nostra JF-Expert Member Sep 17, 2010 1,773 1,805 Jan 17, 2017 Thread starter #4 ikimaanisha nini sasa nje ya box sasa
C chiral center Member Jan 8, 2017 8 1 Jan 18, 2017 #5 Nje ya box inamaanisha, mtatesekaa/ cha moto mtakiona/ mtakoma/ nk
simplemind JF-Expert Member Apr 10, 2009 16,418 9,206 Jan 18, 2017 #6 Mwafaa is present continuous i.e. mnakufaa.
Rk10 JF-Expert Member Apr 6, 2015 1,215 1,369 Jan 18, 2017 #7 Ni neno la kejeli sana huko huayani ikimaanisha mtateseka hadi kufa
cosa nostra JF-Expert Member Sep 17, 2010 1,773 1,805 Jan 18, 2017 Thread starter #8 asanteni wadau nimeipata vizuri sana na nimeongezea majibu mengine kichwani
gstar JF-Expert Member Jun 19, 2011 786 1,367 Jan 31, 2017 #9 Je hakuna kiongozi yoyote mkubwa wa serikali aliyewahi kusema hilineno [HASHTAG]#mwafaa[/HASHTAG]