mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,049
- 3,381
inferior thoughts:A S-alert1: :A S-alert1: :A S-alert1:
Nipo mpenzi!!miss you.
Wahindi wahindi kweli tena kama hapa mumbay nnapokaa ndo wabaguzi vibaya mno sema tu na mie nnazo nnazo, hata waarabu ni hivo hivo wanamatabakaWe labda unasemea hawa wahindi waliozaliwa na kukulia bongo.
Hapa nilipo nmefulia vibaya... hata Hii thread siielew kabisa.
Huu ni mwendelezo ule ule wa dhana potofu kama zile za 'Wazungu huwa hawachiti' au 'Wazungu huwa hawapendi umbea'.
Yote haya ni matokeo ya ujinga [na ujinga si tusi. Adhaniye ujinga ni tusi basi ni mjinga zaidi] tu.
Hizi tabia zilizoelewa hapa hata watu wa rangi nyingine na mataifa mengine wanazo.
MIss u too....sijakuona siku mbili tatu nimekonda ghafla
Hii ni hali ya kukosa uwezo wa kujithamini, kuwa na mashaka mashaka pamoja na hisia za kujiona upo chini ya kiwango ukilinganisha na race nyinginezo duniani. Mleta uzi umefikia kiwango cha juu cha Inferiority Complexity.
Wewe hata saikolojia hujui, na hujaelewa nini nimesema hapo, au unadhani mimi nna njaa hadi nimeandika haya?
Samahani mkuu kama nimekukwaza.Mimi sijamaamisha kuwa wewe una njaa. Kama nimekuelewa ni kwamba wewe umekuwa ukijiuliza kwanini mwafrika anapopata pesa huwa kama inabamdilisha au sio? . Ishu ni kwamba why africans? mbona hizi tabia zipo kwa jamii nyingi tu duniani. Sio tu waafrika haya maisha ni common kwa jamii nyingi za watu wanaotoka zero to hero. Kuna wahindi wanaabudiwa kwasababu ya pesa zao huko India, kuna wahindi wanawabagua wahindi wenzao kwasababu hawana kitu. Kuna whitemen wanaishi maisha ya anasa kwa sababu wamezipata, mtu anaishi kwenye villa ya pesa nyingi na kutembelea private jet. Mtu anaenda Casino kumwaga pesa kwa Strippers kwasababu amezipata, kabla alikuwa hafanyi hivyo. Mtu anamiliki magari 20 hali ya kuwa gari 1 au 2 zingemtosha.
Ishu ni kwamba tusijishushe. Kama hatujithamini, nani atatuthamini? mara waafrika wana akili ndogo, mara waafrika ni malimbukeni, mara afrika bara la giza. Why Africans? Kuna jamii za watu zina mapungufu mengi tu kwenye hii dunia, mfano wahindi, why Africans? Ni kweli kuna udhaifu tunao kama binadamu but why kila kitu Africans?
Hii inawafanya waafrika wengi kuamini kwamba watu wa jamii nyingine duniani wako perfect 100%, wao ndiyo wastarabu, wao ndiyo wenye akili nyingi na wao ndiyo binadamu. Tubadilike, tusipojithamini, hakuna atakayetuthamini.
Nipo mpenzi, kampeni tena.
Umetangaza nia mpenzi?
We acha tu, siasa hizi.
khantwe hivi umeolewa? na kama umeolewa je mumeo akikuta wamwita konda wa bodaboda mpenzi sijui itakuaje tuombe isitokee
Chama gani kwanza....kama kile cha rangi ya mbogamboga tuvunje mkataba leo hii
Kile ukipendacho.