Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,081
- 127,787
Hahaa sikuona hii...huyuhuyu ndo mume wangukhantwe hivi umeolewa? na kama umeolewa je mumeo akikuta wamwita konda wa bodaboda mpenzi sijui itakuaje tuombe isitokee
Hahaa sikuona hii...huyuhuyu ndo mume wangukhantwe hivi umeolewa? na kama umeolewa je mumeo akikuta wamwita konda wa bodaboda mpenzi sijui itakuaje tuombe isitokee
Mi napenda ADC....ndo hicho?
Hahaa sikuona hii...huyuhuyu ndo mume wangu
Njoo ofisi ya waziri mkuu kabla sijaondoka.
Muulize kama ana swali lingine.
Chama ni siri kiasi hicho? Na unakwenda wapi