IhiiiiMmhhhhhh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ha ha ha haMkuu wapatie sasa Ndala matokeo ya 30/09/2018.. Maana sisi Simba SC tunayo tayari.
Niambie mkuuIhiiii
Hujatoweka leo.
Aaa kabisaa hawana pa kutokeaMkuu Ndala kipigo ni stahiki yao siku hiyo
Mtani leo una nguvu si kawaida.
Timu ya wananchi,mabingwa wa Kihistoria wanacheza saa ngapiMtani leo una nguvu si kawaida.
Hongereni naona mmeona mwezi.![]()
Point zetu 3 za jumapili ijayo mtutuzie![]()
![]()
![]()
![]()
kwa mpira gani mliokuwa nao mpaka muwaze kuifunga SIMBAAAAAAAAAA

Nashangaa na mie.Hujatoweka leo.
Saa Moja aiseee.Timu ya wananchi,mabingwa wa Kihistoria wanacheza saa ngapi
Tukutane saa moja mkuu pale TaifaTimu ya wananchi,mabingwa wa Kihistoria wanacheza saa ngapi