Mwadui FC Vs Simba SC

Baada ya maafande wa JKT Tanzania kutulindia nafasi yetu kwa mda mrefu.. Hatimae Mnyama karejea kwenye nafasi yake (1).. Mpaka sasa msimamo wa ligi.. Simba SC anaongoza ligi.

Haya sasa laki si pesa na dada yako Hajar ligi ikiisha mda huu.. Nani atakua bingwa?
Kawalindia nafasi yenu kweli mkuu..Bi Hindu fc
 
Baada ya maafande wa JKT Tanzania kutulindia nafasi yetu kwa mda mrefu.. Hatimae Mnyama karejea kwenye nafasi yake (1).. Mpaka sasa msimamo wa ligi.. Simba SC anaongoza ligi.

Haya sasa laki si pesa na dada yako Hajar ligi ikiisha mda huu.. Nani atakua bingwa?
Kawalindia nafasi yenu kweli mkuu..Bi Hindu
 
Msungoe viti lakini maana nyie hamjambo kwa uharibifu. Mara mnangoa viti. Koki, mnachafua vyoo. Hivyo yote ni hasira ya kufungwa na mwanaume ambaye aliwatoa ubavuni mwake. Ifike mahali mkubali kwamba nyie ni sehemu ya ubavu wetu, hivyo nyie ni wake zetu.
Ni kweli Mkuu.. Maana siku nyingi hatujamgonga mtu goli zaidi ya 6. Wanasimba wenzangu tunajiandaaje kupokea matokeo ya ushindi mnono kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom