Mwadui FC Vs Simba SC

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Leo (23/09/2018) wachimba dhahabu toka Mwadui wanamkalibisha Bingwa Mtetezi wa TPL, Simba SC katika muendelezo wa ligi kuu.. Mechi hii inapigwa katika dimba la CCM Kambarage lililopo hapa mkoani Shinyanga.

Kikosi cha Mwadui FC dhidi ya Simba SC, mechi ya Ligi Kuu Bara
1. Arnold Massawe
2. Revocatus Richard
3. Miraji Maka
4. Iddy Mobby
5. Joram Mgeveke
6. Jean Marie John
7. Salim Iyee
8. Abdallah Seseme
9. Charles Ilanfya
10. Naser Ilakoze
11. Edwin Innocent
Kikosi cha akiba
12. Mussa Mbise
13. Frank Magingi
14. Jackson Salvatory
15. Alish Kombo
16. Leonard Bhoke
17. Rodrigo Emmanuel
18. John Isanzu

Kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mwadui FC, mechi ya Ligi Kuu
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude
7. James Kotei
8. Clatous Chama
9. John Bocco
10. Meddie Kagere
11. Shiza Kichuya
Kikosi cha akiba
12. Deogratius Munishi
13. Paul Bukaba
14. Emmanuel Okwi
15. Adam Salamba
16. Mohammed Ibrahim
17. Rashid Juma

Mtanange huu unatarajiwa kuanza saa 10 kamili jioni hii.. Ungana nami.
 
Wakuu.. Leo Mwadui hawana pa kutokea.. Njia zote tushafunga.. Na mishale ya saa 10 tunaanza kumshuahia kipigo kinachoitwa mwana ukome.
Dishi la Babu huku linasema matokeo ni 1 kwa 1, hakuna mabadiliko yoyote
 
Mtanange ndo unaanza hapa katika dimba la CCM Kambarage.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom