Mwadhamu Polycarp Pengo: Serikali mbili zinatosha

Mwadhamu Polycarp Pengo: Serikali mbili zinatosha

Pengine sasa Jaji Warioba aulizwe alimuhoji nani hasa katika taasisi mbali aiwezekani kila kukicha wadau wanajitokeza na kusema vingine kinyume na madai ya mapendekezo ya rasimu kuhusu msimamo wa taasisi nzima.

Hivi kama hao watu wachache kati yetu waliobahatika kutoa maoni kupitia makundi yao na kwenye kutoa mapendekezo walitofautiana kuhusu muundo wa serikali moja, mbili na tatu, iweje tudhani wabunge leo wanadhamana ya wapiga kura wao mpaka wapige kura za siri wakati wengi hawajatoa maoni yoyote directly?

Swala hili ni very complicated na wapiga kura wanahaki za kujua wawakilishi wao wamechagua nini kwa niaba yao kama Kardinali alivyojuzwa (na kuamua kutoa msimamo wake binafsi) na wawakilishi wa baraza mapinduzi walivyojuzwa na kuukana kuwa ni msimamo wa wachache. Mwisho wa siku na watanzania wanahaki hizohizo za kufahamu wawakilishi wao wamewachagulia nini.

Kura ya siri ni kwa sababu ya impact ya mtu mmoja hila kama unawapigia kura watu kwa niaba yao wanahaki ya kujua umewachagulia nini na waamue kama wakurudishe au wakutose na isitoshe kama hupo kwenye chama pia chama kiamue kama hupo pale kwa mawazo ya wengi au utoke kwa kutokubali misimamo ya pamoja. Ndio demokrasia yenyewe na aitaki mzaha mzaha.
Nimeshindwa kujizuia kukupa hongera yangu kutokana na andiko lako lililobeba hoja nzito ambazo wachache hawapendi kuzisikia.

Kuna mambo ya msingi kabisa katika mchakato wa Katiba ambayo hayahitaji kutingishwa kwa hoja kama yako kabla hatujaanza kuendelea na safari katika bunge la Katiba.

Ukweli utaendelea kubainika kila siku.
 
Hayo ni ya kwako. kanisa katoliki haliko hivyo. Kardinali si mkuu wa kanisa katika nchi. Ndio maana sio nchi zote zina makadinali. Kandinali ni cheo kinachohusianan na mambo ya kumshauri pope huko roma. Walutheir wao wana mkuu wao wa kanisa tanzania malasusa lakini mfumo wa kikatoliki hauko hivyo. Gazeti la habri leo ni gazeti la ccm hivyo wanaandika kipropaganda zaidi ili kuwachanganya wananchi.

Kwa nini mhashamu kakubali kutumika??? this is very sad kwa kweli, unachasema ni sahihi.Kwa taarifa ya wasomaji muwakilishi wa papa functionally ni balozi,. kila askofu ni raia ya vatican, ana parokia yake huko vatican pengo the same, pengo yuko ktk secretariat ya pope kama kadinali siyo kiongozi wa nchi, mambo ya nchi yanaratibiwa na balozi kwa kushirikiana na maaskofu wa majimbo yote
 
Mkuu, katika hili jisaidie mwenyewe huwezi kunisaidia mimi.


Siyo kweli, lingekuwa halina mkuu katika nchi basi lingekuwa pia halina mkuu katika dunia. Ni kweli kila askofu ana mamlaka kamili lakini kuna mkuu wao.


Kiongozi kuwa ni msemaji mkuu haina maana yeye ndiyo mkuu elewa hilo kwanza. mfano msemaji mkuu wa jeshi la polisi siyo ndiye IGP, Msemaji mkuu wa TFF siyo ndiye mwenyekiti wa TFF, kADHARIKA MSEMAJI MKUU WA CCM siyo ndiye mwenyekiti, uelewa wenu bado ni mdogo sana.


Rais wa baraza la maaskofu/Tanzania Episcope Conference (TEC) ni mwenyekiti wa huo mkutano/conference kama anavyokuwaga mwenyekiti wa bunge Jenista Mhagama lakini siyo kwamba yeye ndiye spika wa bunge. Yeye ni mwenyekiti tu NA SI KARDINALI, KARDINALI NI CHEO, NI MKUU WA KANISA KATOLIKI KATIKA NCHI, NDIYE HUKUTANA NA MAKARDINALI WENGINE DUNIA NZIMA KUMCHAGUA PAPA/KIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI.

mkuu kuna nchi zina makardinali zaidi ya mmoja ktk nchi hapo NANI MKUU
 
acha kupotosha watu kuna nchi hazina makardinal, kwa hyo maaskofu wao wanaongozwa na nan?

Umeyaelewa hayo maneno ya kiingereza uliyoninukuu au umekurupuka tu? aliyekuambia kila nchi lazima iwe na kardinali ni nani?. Hayo maelezo ni ya kutoka wikipedia kwahiyo wikipedia ndiyo wanakupotosha?
 
Kanisa katoliki always lipo upaande wa ccm kwani linatekeleza ilani yao.
Hivyo Penge a adbihirisha tu. Hawa na Bakwata sawa sawa
 
Kwa nini Mwadhama Polycap Kadrinali Pengo anahofia serikali tatu?


Mwadhama anahofia serikali tatu kwa sababu kimtazamo serikali hizo zinafanana na muungano kuvunjika, hivyo muungano ukivunjika mapadri wake hawatakuwa salama kule Zanzibar, kwa akili za wagunya zilivyo watawahujumu mapdri watahujuma na makanisa. Hiyo ndiyo hofu ya mwadhama huyo.
 
kwani wanaoendesha ukristo kule Zanzbar ni wakatoliki peke yao? Kuna waluteri,anglican wa moravian,wa seventh day na walokole wa kila aina. Huo kama kweli kausema ni uoga usiokuwa na msingi. Kinachotakiwa,kama tutaunda serikali tatu, Serikali ya muungano inatakiwa ipewe madaraka makubwa kuliko serikali hizi mbili. Rais wa muungano asimamie UCHUMI,ULINZI,ARDHI,UHUSIANO WA NJE wa nchi zote mbili. Zanzbar na tanganyika kuwe na mawaziri wakuu tu
 
Kwa nini Mwadhama Polycap Kadrinali Pengo anahofia serikali tatu?


Mwadhama anahofia serikali tatu kwa sababu kimtazamo serikali hizo zinafanana na muungano kuvunjika, hivyo muungano ukivunjika mapadri wake hawatakuwa salama kule Zanzibar, kwa akili za wagunya zilivyo watawahujumu mapdri watahujuma na makanisa. Hiyo ndiyo hofu ya mwadhama huyo.

Pengine analishwa maneno yasiyo kweli kwa kushauriwa na mtu wa karibu naye ambaye ni Waziri Mkuu Pinda, kwani wote wanatoka huko huko Lyamba la Mfipa na wote ni wafipa, pia Pinda ni mwumini wake Pengo. Si ajabu CCM kumtumia Pinda kumsharisi Pengo kuhusu hilo, Pengo naye kaingia kichwa kichwa hadi kudiriki kwenye kinyume cha taratibu za baraza la Maaskofu la kauli pamoja yeye sasa anatoa kauli inayopingana na kauli ya uwajibikaji wa pamoja.
 
Huyo ni mwanachama hai wa ccm sasa anaogopa wasije kumuumbua kwa madhambi yake.wapo viongozi wawili wa kidini nchini ambao wapo chini ya CCM.polycarp pengo na mufti wa bakwata simba ambaye naye anaogopa kuumbuliwa.wanakula raha kwa mgongo wa ccm.
 
Pengo amedhihirisha ukereketwa wake kwa CCM na ku-confirm dhana inayolalamikiwa na Waislamu kuwa Serikali ya ccm inafuata sera ya mfumo Kristo.
Rasimu ya Katiba imetokana na mawazo ya wananchi yeye ni nani mpaka adharau matakwa yao? Mamlaka ya kuwasemea wananchi ameyatoa wapi?

Wakatoliki watanisamehe kwa hili, ila Mkuu wenu wa Kiroho amepotoka kuingilia na kutoa msimamo wa kisiasa!

Kufikia hapa naweza nikasema bila shaka yoyote kuwa Pengo ni mfuasi wa kambi ya Lowassa.
Kumbuka kipindi kile Lowassa amefukuzwa kazi kwa sababu ya ufisadi, baada ya muda Cardinal Pengo alimtembelea Lowassa nyumbani kwake na kuzindua kitabu cha mke wa Lowassa, Regina!!

Mkuu wakatoliki wanakuelewa huyu pengo mnafiki sana! Yeye kama kiongozi wa kanisa anapata wapi mamlaka ya kuwasemeya waumini wake!

Kumbuka ndani ya kanisa kuna CUF! NCCR MAGEUZI, TLP,CHADEMA, CCM, UDP nk.sasa hawa waumini wake anawaweka njia panda kuonesha msimamo wake ni hatari sana kwa Taifa.

Kama kanisa limeanza kufanya siasa tunamuomba atutangazie leo ili watoto wetu waamuwe kuchukua fomu na kuingia kwenye kinyanga'nyiro cha ubunge,
 
mkuu kuna nchi zina makardinali zaidi ya mmoja ktk nchi hapo NANI MKUU

Sio nchi ni muungano wa nchi kwa mfano, ujerumani, USA, Uk n.k.. kila nchi/jimbo kuu la kardinali ndio ukuu wake upo pale

Cardinari ndio boss wa nchi/jimbo kubwa kwa nchi nyingine.
 
Back
Top Bottom