Mwadhama - Kardinali Polycarp Pengo ni mgonjwa

Mwadhama - Kardinali Polycarp Pengo ni mgonjwa

Sasa mbona unaanza kashfa!?
Mi nimeskia wakristo kila wakimuona mgonjwa wanasema ANA PEPO!
Na vilevile kila mara mnasema kila mgonjwa kaumizwa na pepo!
Sasa mi nakupeni ushauri. Mnatoa matusi!
Yesu ndio kawafundisha tabia mbaya namna hii??
Au kwa sababu ni wana kondoo ndio man haki ya kuongea kama kondoo??

mkuu Khaatan,

usiwe unaleta ubishi usio na maana hapa ukidhani unafurahisha watu, post zako zinakera na kuleta maudhi kwa watu, tafadhari tumia busara, hasa linapokuja swala la UGONJWA, hakuna mtu anayependa mwenzie aumwe hata kama si wa imani yako. Sisi sote ni ndugu. Mbona wenzako wengi wametoa pole wameendelea na mambo mengine lakini wewe unaleta mambo ya dhihaka?

tafadhari si sifa kubishana na watu ukidhani watakuona wa maana, fikiri kabla ya kupost, kunamuda wa utani na kunamaswala mengine hayahitaji utani
 
Na ndio maana nimesema wewe akili yako kuna bolt imepata kutu. Au kichwa chako kimejaa tope na siyo ubongo.

Aliyekwambia Kardinari Pengo ana pepo ni nani?????? umeshazoea kupiga madogori, na unataka kuleta hiyo tabia JF.

Kila ukikaa unafikiria pepo na mashetani kwa kuwa na wewe ni kizazi cha mashetani na pepo.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!

Kwani wale wanao tolewa Pepo Kanisani niaje ???!
 
Huyo hata mlie, ugonjwa wake HAMTOAMBIWA ng'oo!

Halafu!? Kumbe MAKADINALI NAO PIA WANAUGUAGA!??

Si wanasema tu! Unamponya kwa jiiiiiiiiiina la Yesu!? Au SIMAMA kwa jiiiiiina la Yesu! Halafu anapona saa hiohio!

Au wa kuyatamka hayo lzm awe mkubwa kuliko yeye!?

Naomba kufahamishwa hapo!

Yeye kuwa mtumishi haimbadilishi ubinadamu wake. Halafu naona umechanganya madude hapo... kardinali hajawah ombea mtu hivo unavosema. Anajua bwana hutenda kwa wakatu wake. Hakawii wala hawahi. So anasubir wakati wa bwana uliokubaliwa
 
Aliniudhigi sana miaka ya 90 na matamko yake,mungu azisamehe dhambi zake.
 
Kwani wale wanao tolewa Pepo Kanisani niaje ???!

Waislamu ndio mnaoumba Mapepo na kuwarusha kwa watu. Kwani wale mapepo ni ndugu zenu.

======================================================================================================
NUKUU YA KITABU:

Quran kinasema kuna malaika walioasi nawakafukuzwa katika utukufu wa Mungu.Katika Quran Suratul, al-Kahf, (Pango) 18:50 " Na (Kumbukeni) tulipowaambia Malaika, Msujudieni Adamu. Basi wakamsujudia isipokuwa Ibilisi yeye alikuwa miongoni mwa majini na akavunja amri ya mola wake…….."

Katika aya hiyo tunaona ibilisi akilaumiwa kwa kutomsujudia Adamu ingawa amri yakusujudu walipewa malaika kumbe kwa mujibu wa Quran Ibilisi alikuwa miongonimwao hao malaika yaani na yeye akiwa malaika.Kwa sababu Quran haina habari kuhusu malaika walioasi yaani majini ndiyo maanawanapata tabu kuhusu jambo hilo. Na ndiyo maana pamoja na kujua kuwa hayo majini ni mashetani, Muilsamu amehiari kushirikiana nayo kwa kuswali nayomsikitini. Na hata mwislamu huyu anapomaliza kusali husalimia kulia na kushotoakiwasalimia watu malaika na majini (mashetani) waliokuja kushiriki naye katikaIbada yake, soma katika (Irshadul Muslimiin, Sheikh Said Musa, Uk. 38).Katika Tafsiri ya Quran ya Iman Jalalai ni Uk. 6:151 anasema kuhusu majini "
======================================================================================================

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
 
Mbona nilimwona juzi tu akiwa mzima wa Afya hapo Oysterbay akiendesha mnada akiwa pamoja na mkapa?

Sasa Ulitegemea ktk Kuomba Hela Augue? Unafanya Masihara na Njaa au Shida?
 
huwa nawakubari sana viongozi wa kikatoliki na waumini wao! na ninaamini catholic will never die, Mungu amsaidie na amponye huyo jamaa!
 
Alokwambia kiongozi wa dini ndio aseme anaumwa nini ni nani? Ye ni binadamu kama wengine ana hiari kusema au kutokusema kama wewe ukiugua na kuwa na hiari kusema au kutokusema unaumwa nini.

Kweli kabisa mkuu.
 
mitume waungane kumuombea atapona kwa jina la yesuuuuuuuu
 
Waislamu ndio mnaoumba Mapepo na kuwarusha kwa watu. Kwani wale mapepo ni ndugu zenu.

======================================================================================================
NUKUU YA KITABU:

Quran kinasema kuna malaika walioasi nawakafukuzwa katika utukufu wa Mungu.Katika Quran Suratul, al-Kahf, (Pango) 18:50 “ Na (Kumbukeni) tulipowaambia Malaika, Msujudieni Adamu. Basi wakamsujudia isipokuwa Ibilisi yeye alikuwa miongoni mwa majini na akavunja amri ya mola wake……..”

Katika aya hiyo tunaona ibilisi akilaumiwa kwa kutomsujudia Adamu ingawa amri yakusujudu walipewa malaika kumbe kwa mujibu wa Quran Ibilisi alikuwa miongonimwao hao malaika yaani na yeye akiwa malaika.Kwa sababu Quran haina habari kuhusu malaika walioasi yaani majini ndiyo maanawanapata tabu kuhusu jambo hilo. Na ndiyo maana pamoja na kujua kuwa hayo majini ni mashetani, Muilsamu amehiari kushirikiana nayo kwa kuswali nayomsikitini. Na hata mwislamu huyu anapomaliza kusali husalimia kulia na kushotoakiwasalimia watu malaika na majini (mashetani) waliokuja kushiriki naye katikaIbada yake, soma katika (Irshadul Muslimiin, Sheikh Said Musa, Uk. 38).Katika Tafsiri ya Quran ya Iman Jalalai ni Uk. 6:151 anasema kuhusu majini “
======================================================================================================

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
Hiyo aya ya Qur'an: 18:50, imo katika Biblia kwenye Agano la Kale !
Haaa....haaa....haaa ! Ndugu zetu majini na mapepo yanawapenda kweli, kila mkiyatoa...kesho yamerudi !.............bora na nyie muunge undugu, maana kutoa pepo ni very expensive !
Huwa yakikomaa sana yanageuka Misukule, muulize Gwajima !
Halafu Mizambwa nimekudharauu !
 
Majini na Ui...slamu ni kama pete na kidole kuna mtoto hapa nlpo kakumbwa na majini.... akishapandisha majini yake tukiwa tunamwombea analia akisema tunarud msikitini
 
. Kwa hiyo asili ya majini nishetani.Suala linalohusu malaika linawasumbua sana waislam hata hawana uhakika wake.

Tumesoma ndani ya Biblia kuwa kuna kundi la malaika waliokosa ambao ndiyo wanaoitwa majini lakini tusomapo Quran inatoa maelezo tofauti. Quran suratul As-Sajdah, (kusujudu) , 32:13 " Na tungelitaka tungempa kila mtu uwongofu wake (kwa lazima kama tulivyowapa malaika lakini binadamu amepewahuria ya kufanya alitakalo- lililo jema na baya).

Katika ulimwengu wa Kiislamu Malaika wote ni 8 wema na wanamwabudu mungu.Hapa ndiyo tatizo linapoanzia.

Quran iliyokuja baadaye inasema malaika wote niwema wakati biblia kitalu kilichoitangulia Quran kinasema kuna malaika walioasi nawakafukuzwa katika utukufu wa Mungu.

Katika Quran Suratul, al-Kahf, (Pango) 18:50 " Na (Kumbukeni) tulipowaambia Malaika, Msujudieni Adamu. Basi wakamsujudia isipokuwa Ibilisi yeye alikuwa miongoni mwa majini na akavunja amri ya mola wake…….."

MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!
 
Majini na Ui...slamu ni kama pete na kidole kuna mtoto hapa nlpo kakumbwa na majini.... akishapandisha majini yake tukiwa tunamwombea analia akisema tunarud msikitini

Yale ya Kanisani mnayopungwa huwa mnayatowa wapi ?
 
Back
Top Bottom