hivi hizi dua mnamuombea kwa mungu yupi??
Kwa sababu kuna waefeso na wakolosai miongoni mwenu wanaimani kuwa mungu wao pia ALIKUFA! na kabla ya hapo alitaka kikombe KIMUEPUKE lkn ikashindikana!
Sasa kama mnamuombe kwa huyo aliyekufa! Sidhani kama hizi dua zenu zitakuwa very effective.
Labda mfuate ushauri wa kumuagiza huyo NABII! huenda akawa na miujiza kama yule nabii wa AGAPE TV.
HIVI UNAJUA KUWA MAJINI (MASHETANI )NI NDUGU ZA WAISLAMU?
" Alif Lam Mym. Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ni uongozi kwa wamchao mwenyezi Mungu ambao huyaamini yasiyoonekana (maadaam)yamesemwa na mwenyezi Mungu na Mtume wake) husimamisha sala na hutoa katika yale tuliyowapa.Quran peke yake ukiichunguza utaona kuwa majini yamechukuliwa kama ni viumbe tofauti na mashetani, wanasema hivyo kwa sababu katika uislamu majini yamepewa hadhi kubwa sana na ya kipekee. Hadhi hiyo ni kwa sababu majini waliamini Quaran.Tusomapo katika Quran Suratul al- Ahqaf, (Kichuguu cha mchanga) 46:29
" Na (wakumbushe) tulipokuletea kundi la majini (kuja kwako) kusikiliza Quran. Basi walipoihudhuria walisema (kuambiana):- " Nyamazeni (msikilizeni maneno yaMwenyezi Mungu)" Na ilipokwisha (Somwa) walirudi kwa jamaa zao wakiwaonya".
Na ndani ya Quran kuna sura nzima inayoitwa sura ya majini (Mashetani) hiyo nisura ya 72. katika sura hiyo inasema 72:1-3, 14. " Sema: imefunuliwa kwangu yakuwa kundi moja la majini liliisikia (Qurani) likasema hakika tumesikia Qurani yaajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikishayoyote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa.Hakujifanyia mke wala mwana……………………. Nasi wamo miongoni mwetu na wamo miongoni mwetu waliokengeuka waliosilimu hao ndiyo waliotafuta uwongofu.
Kwa hiyo aya hizi zinaonyesha kuwa Quran ilipokuja ndipo majini waliposilimu.Kumbuka kuwa Quran imeanza mwaka 610 B.K kipindi ambacho Biblia tayari ilikuwepo kwa karibu karne 6.Akifafanua asili ya majini Mwanazuoni mkubwa wa kiislamu aitwaye Abdalllah SalehFarsy aliye kuwa Kadhi Mkuu Zanzibar, kisha akawa Kadhi Mkuu Kenya katika kitabu alichoandika kiitwacho " Maisha ya Nabii Mohammad" ule Uk. 31 anasema "
Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu kamainavyoonesha haya katika Suratul Jinn. Majini ni viumbe vyepesi vinavyokaa angani.havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwaumbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuwezakuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. Kwa hiyo asili ya majini nishetani.Suala linalohusu malaika linawasumbua sana waislam hata hawana uhakika wake.Tumesoma ndani ya Biblia kuwa kuna kundi la malaika waliokosa ambao ndiyowanaoitwa majini lakini tusomapo Quran inatoa maelezo tofauti. Quran suratul As-Sajdah, (kusujudu) , 32:13 " Na tungelitaka tungempa kila mtu uwongofu wake (kwa lazima kama tulivyowapa malaika lakini binadamu amepewahuria ya kufanya alitakalo- lililo jema na baya).Katika ulimwengu wa Kiislamu Malaika wote ni 8 wema na wanamwabudu mungu.Hapa ndiyo tatizo linapoanzia. Quran iliyokuja baadaye inasema malaika wote niwema wakati biblia kitalu kilichoitangulia Quran kinasema kuna malaika walioasi nawakafukuzwa katika utukufu wa Mungu.Katika Quran Suratul, al-Kahf, (Pango) 18:50 " Na (Kumbukeni) tulipowaambia Malaika, Msujudieni Adamu. Basi wakamsujudia isipokuwa Ibilisi yeye alikuwa miongoni mwa majini na akavunja amri ya mola wake…….."
================================================================================================