Mwadhama - Kardinali Polycarp Pengo ni mgonjwa

Mwadhama - Kardinali Polycarp Pengo ni mgonjwa

majina mbona yanajulikana...soma hapo The four Gospel writers » BibleFascination

Kama yanajulikana si utuwekee hapa!?
Kwani kuna kazi gani kubwa kuandika tu. Mfano.

Matayo juma.
Au
Luka mwajuma halafu mbele yakw unatuwekea na ushahidi wa andiko.

Haya nasubiri jibu.

Wewe unaongea kwa kutumia ma.kalio.acha u.fa.la

mada imebadilika kwasababu ya jamaa mmoja anaitwa kahtaan na jini lake linaitwa SHARIF..
Ahsanta

The four writers of the gospels were different men with different backgrounds. Two of the writers Matthew and John were disciples of Jesus Christ. Three were Jews; Luke was a Gentile.

Matthew

Matthew, son of Alphaeus was a tax collector, a Levite and a writer. When Jesus called him as a disciple, he immediately stood up, left everything, and followed Jesus. Matthew wrote about the Messiah, the King. His audience he wrote to was the Jews. The book of Matthew that refers to Jewish customs without explaining them, because his audience was familiar with the customs. He uses Jewish terminology and often quotes from the Old Testament.

-

Mark

John Mark was the son of Mary, a friend of the apostles. His mother owned a house and he was the cousin of Barnabas. Mark travelled with Paul and Barnabas; he left them on the journey and was the cause of a dispute between Barnabas and Paul. He is probably the young man we read about in Mark 14:51-53 that followed Jesus and then hid in the garden of Gethsemane. When Jesus was captured he fled naked. The book portrays the Servant to those in need. The audience he wrote to was probably the Romans. The book is evangelic in nature, full of actions and one do not need a Jewish religious background to understand the book. The book is written in the common language of the day.

-

Luke

Luke the doctor was an Antiochian Gentile, Greek speaking, highly educated and was probably converted to Christianity in Antioch. He was friends with Paul and travelled with him to Asia and Jerusalem. He remained behind in Philippi as the pastor there. His audience was the Greeks, the Gentiles. Luke wrote two books and both the books Acts and Luke were addressed to Theophilus. Acts summarises and follows on the book of Luke. Luke writes about the resurrection and places the emphasis on the Holy Spirit. He portrays the humanity of Jesus Christ.

-

John

John the beloved disciple of Jesus wrote 5 books, the book of John, John I, John II, John III and Revelation. He is one of the sons of Zebedee, was a fisherman of Galilee and his mother, Salome was probably the sister of Mary.- The book of John is written to the church and written in gentile surroundings in Asia Minor, most likely in Ephesus. He portrays the Son of God; the gospel of John is the gospel of beli

Matusi. Bla bla nyiingi lkn MAJINA YA WAZAZI WA HAO MITUME WENU HAMYAJUI!

Sasa hivi kweli nyie mnaweza kukubalika mahakamani!?

Au kwenye sehemu yyt inayotakiwa USHAHIDI?

We unaulizwa jina lako halafu unataja jina moja tu ! Matola!
Au Remote! Ukichapwa kofi unasema Nicholas! au Nyakageni.

Unaulizwa je! Unalijua jina la baba yako??

Unajibu SILIJUI!

Sasa we utakuwa salama kichwani kweli??

Manake hata watoto wa zinaa wana majina ya kutunga!
We muulize Matola! Anawafahamu sana!

Bado nasubiri jibu!

Mathew who?.

Mark who?

Luke who?

And

JOHN who??

Hawa ndio WAANDISHI WA GOSPEL (BIBLIA) VIPI MSHINDWE KUJUA MAJINA YA WAZAZI WAO??

Aisee! Ugalatia ni kaaz kweli kweli!

Cc Tayeb
 
Last edited by a moderator:

Methali 26;5 umjibu mpu.mbavu sawasawa name upu.mbavu wake
 
Last edited by a moderator:
Methali 26;5 umjibu mpu.mbavu sawasawa name upu.mbavu wake

Methali 26. 11 -12

11-Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpum.bavu afanya upu mbavu tena.-

12-Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpum.bavu kuliko yeye.-
 
Makasinali siwajui

mkuu edward mwache tu huyo,kama utakumbuka hata yule jambazi aliyehukumiwa pale msalabani pamoja na yesu alisema maneno ya kejeli kama ya huyu mfuasi wa allah, sijui kinamkera nini hivyo kadinali wetu kuugua, nadhani salman rushdie anatakiwa apublish tena kitabu chake cha satanic verses ili walimwengu wote waujue ukweli
 
inaonekana hayo majibu hayajasikia... lakini yapo.. unaweza ku-google pia bado ukawapata wazazi wao....
 
inaonekana hayo majibu hayajasikia... lakini yapo.. unaweza ku-google pia bado ukawapata wazazi wao....

Mkuu wacha ku google! Hata uki giggle HUWAPATI HATTA SIKU MOJA!
We unadhani wagalatia mwalimu wao ni nani!
Si huyo uliemtaja hapo juu!?

Hilo swali hata yule Papa hawezi kulijibu.

Kwa kifupi ni kuwa watunzi au WAANDISHI wa BIBLIA Wazazi wao HAWAJULIKANI!

Na ni watu pekee DUNIANI Weny kutumia JINA MOJA TU!

Sasa hapo akili mukichwa! Iweje watu wafuate kitabu kilichoandikwa na watu wasio na majina ya WAZAZI WAO!?

We ukipewa cheque ilioandikwa Jina moja tu UTAIKUBALI?
Au passport yako iwe na jina moja UTAWEZA KUSAFIRIA??

Au driving licence iandikwe jina moja utaweza kukatiza mtaani unaitumia kama kawaida?

Au WAPI KTK HISTORIA umeshawahi kuona Kitabu au Any document ambayo muandishi ana JINA MOJA TU!??

Jibu ni HAKUNA ispokuwa BIBLIA.!!

I wonder why!!!!!
 
kumbe ni dr?kwa hiyo akienda kwenye hiyo pepo yenu atapewa wanawake 72 na vijito vya ulevi kutoka kwa mola wake duh

Sasa eti na huyu nae Kachangia hoja!

Duh! Jamani ugalatia kumbe kazi ya ziada!

Halafu we unajua maana ya SENDORO kwa lugha ya kiha!

Teh teh teh!

Nikiiandika hapa watasema nimelikosea jukwaa heshima! We nenda kamuulize muha yyt maana ya Sendoro.!
Kama hukubatizwa upya! Tena kavukavu bila ya maji!
 
teh teh, eti dr
 
mkuu edward mwache tu huyo,kama utakumbuka hata yule jambazi aliyehukumiwa pale msalabani pamoja na yesu alisema maneno ya kejeli kama ya huyu mfuasi wa allah, sijui kinamkera nini hivyo kadinali wetu kuugua, nadhani salman rushdie anatakiwa apublish tena kitabu chake cha satanic verses ili walimwengu wote waujue ukweli

Aniache kwani umeskia mi nimefunga ndoa na huyo mparoko!?

We namna gani??

Halafu unasema mi nakereheka huyo kadinali kuugua!
Aliyesema hivyo nani!?
Au kwa sababu mdomo mali yako. Umeamua kuropoka tu!

Kinachonikera ni nyie KUDANGANYA WATU!

ohhh pona kwa jiiiiina la yesuuuuuu!
Ohh pepo toka kwa jiiiiiiina la yesuuuu!

Matokeo yake wagonjwa wanakufa kwa KUKOSA DAWA!

Sasa kama nyie mnadai mnapona kwa kuita tu Yesuuuuuuuuu! Mbona huyo jamaa yenu ALIPELEKWA HOSPITALI!??

Acheni utapeli nyie. !

Hizo kwenye agape tv ni kelele tu! Hamna lolote!
 
Get well soon baba yetu wa kiroho....

jaman mbna cardinal ameshapona na juzi ameendesha misa

jamani mchungaji wetu Mungu amsaidie apone

Pengo keshapona na j2 kaongoza misa hapa jimboni
kama ndio ulilituma jini lako sharif limeshafeli, labda ujarbu jini SUBIAN na MAKATA
Ahsanta

Aisee! Huyo pengo hapo juu unasema alikuwa kapona toka jumapili iliopita!
Hapo chini unasema juzi yaani jumatano!

Teh teh teh!

Kijana mnyonga viuno! Au lile pepo la pengo limehamia kwako!?
 
naingia kwenye maombi maalumu ya kulito jini SHARIF kwa ndugu yangu kahtaan

Kumbe hata mibwabwa nayo inamjua mungu....kabla ya muombea doctor kwanza jiombee wewe uache tabia za kikristo (ungese) na pia uiombee familia yako ionndokane na ufukara walau iwe na uhakika wa mlo mmoja kwa siku.... kwa jiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnnnnaaaaa la YETHUUUU (
 
Last edited by a moderator:
Matusi. Bla bla nyiingi lkn MAJINA YA WAZAZI WA HAO MITUME WENU HAMYAJUI!

Sasa hivi kweli nyie mnaweza kukubalika mahakamani!?

Au kwenye sehemu yyt inayotakiwa USHAHIDI?

We unaulizwa jina lako halafu unataja jina moja tu ! Matola!
Au Remote! Ukichapwa kofi unasema Nicholas! au Nyakageni.

Unaulizwa je! Unalijua jina la baba yako??

Unajibu SILIJUI!

Sasa we utakuwa salama kichwani kweli??

Manake hata watoto wa zinaa wana majina ya kutunga!
We muulize Matola! Anawafahamu sana!

Bado nasubiri jibu!

Mathew who?.

Mark who?

Luke who?

And

JOHN who??

Hawa ndio WAANDISHI WA GOSPEL (BIBLIA) VIPI MSHINDWE KUJUA MAJINA YA WAZAZI WAO??

Aisee! Ugalatia ni kaaz kweli kweli!

Cc Tayeb

Mkuu, Dr kahtaan hawajamaa umewatwika Zigo zito kiasi wanashindwa kwenda mwendo teh teh teh!

Huo ni sawa na mwiba wa ta.ko teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hata mibwabwa nayo inamjua mungu....kabla ya muombea doctor kwanza jiombee wewe uache tabia za kikristo (ungese) na pia uiombee familia yako ionndokane na ufukara walau iwe na uhakika wa mlo mmoja kwa siku.... kwa jiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnnnnaaaaa la YETHUUUU (

Naona unamtia majiti kijana teh teh teh!

Tena katulia kwa raha za hayo majiti ya rohoni teh teh teh!
 
Mkuu, Dr kahtaan hawajamaa umewatwika Zigo zito kiasi wanashindwa kwenda mwendo teh teh teh!

Huo ni sawa na mwiba wa ta.ko teh teh teh!

Mkuu Maulana Tayeb unanivunja mbavu huku.!

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom