sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Ugua pole Cardinal Pengo!Upone haraka uendelee na utumishi wako wa kuchunga kondoo wa bwana!
Anaficha nini Ugonjwa wake? Au ndo vileeee?
mbona mpaka leo hatujui kilichomuua Mgimwa ingawa waliuma uma meno tu na mpaka wengine wakasema walitaka kureplace mwingine afe ili yeye abaki. Tanzania ni nchi ya ajabu sana jamani
Waumini wangependa kujua kimsumbuacho Mwadhama pengo.......
Mgimwa alikuwa ni mtu wa serikali lakini huyu ni kiongozi wa dini, je kuna uhalali wowote wa kuficha anachoumwa?
nani mwenye haki ya kutangaza ugonjwa wa mtu mwingine?
Si unajua kuwa ugonjwa unaweza kumkuta mtu any minute na bila taarifa? Nadhani ndivyo ilivyo. Tumuombee kwa Mungu amponye, aendelee kututumikia.
Mbona nilimwona juzi tu akiwa mzima wa Afya hapo Oysterbay akiendesha mnada akiwa pamoja na mkapa?
Uguwa pole, lakini kwanini hakusema anaumwa ugonjwa gani?
mbona mpaka leo hatujui kilichomuua Mgimwa ingawa waliuma uma meno tu na mpaka wengine wakasema walitaka kureplace mwingine afe ili yeye abaki. Tanzania ni nchi ya ajabu sana jamani
Waumini wangependa kujua kimsumbuacho Mwadhama pengo.......
Mgimwa alikuwa ni mtu wa serikali lakini huyu ni kiongozi wa dini, je kuna uhalali wowote wa kuficha anachoumwa?
Anayepaswa kutoa taarifa za ugonwja wa mtu ni Daktari peke yake.nani mwenye haki ya kutangaza ugonjwa wa mtu mwingine?
Huyo hata mlie, ugonjwa wake HAMTOAMBIWA ng'oo!
Halafu!? Kumbe MAKADINALI NAO PIA WANAUGUAGA!??
Si wanasema tu! Unamponya kwa jiiiiiiiiiina la Yesu!? Au SIMAMA kwa jiiiiiina la Yesu! Halafu anapona saa hiohio!
Au wa kuyatamka hayo lzm awe mkubwa kuliko yeye!?
Naomba kufahamishwa hapo!

Viroba bwana...we hujasoma heading aise! Huyo ni mkuu wa maaskofu wa kikatoliki ambaye huteuliwa na papa..ndio nani huyo jamaa?
Ndugu yangu sidhani kama wewe ni mzima kiakili!!!!!!!!!
Isije kuwa umetoroka Hospitali ya Mirembe!!!!!
Maneno yako yanadhihirisha jinsi uliyo, siwezi kushangaaa!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
Kanisala la katoriki lifanye utaratibu limpeleke kwa Nabii TB Joshua uko lazima atapona
Get well soon..
Waumini wangependa kujua kimsumbuacho Mwadhama pengo.......
Si unajua kuwa ugonjwa unaweza kumkuta mtu any minute na bila taarifa? Nadhani ndivyo ilivyo. Tumuombee kwa Mungu amponye, aendelee kututumikia.
Kijana nadhani una matatizo kuliko unavyodhani ama kujua, jaribu kujitafiti zaidi, sidhani kama kuna faida kushabikia jinsi hiyo. Jitafiti.Huyo mgalatia Binary katoa wazo japo juu. Kuwa kuna NABII ambae kicheo NI MKUBWA KULIKO kadinali!
Huyo akimpa ile damu ya bwana kutoka dodoma wine. Halafu akamwimbia "hail mary" mara 1000!
Sasa hivi utamuona pengo kageuka mwanya!