HIVI UNAJUA KUWA MAJINI (MASHETANI )NI NDUGU ZA WAISLAMU?
Alif Lam Mym. Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ni uongozi kwa wamchao mwenyezi Mungu ambao huyaamini yasiyoonekana (maadaam)yamesemwa na mwenyezi Mungu na Mtume wake) husimamisha sala na hutoa katika yale tuliyowapa.Quran peke yake ukiichunguza utaona kuwa majini yamechukuliwa kama ni viumbe tofauti na mashetani, wanasema hivyo kwa sababu katika uislamu majini yamepewa hadhi kubwa sana na ya kipekee. Hadhi hiyo ni kwa sababu majini waliamini Quaran.Tusomapo katika Quran Suratul al- Ahqaf, (Kichuguu cha mchanga) 46:29
Na (wakumbushe) tulipokuletea kundi la majini (kuja kwako) kusikiliza Quran. Basi walipoihudhuria walisema (kuambiana):- Nyamazeni (msikilizeni maneno yaMwenyezi Mungu) Na ilipokwisha (Somwa) walirudi kwa jamaa zao wakiwaonya.
Na ndani ya Quran kuna sura nzima inayoitwa sura ya majini (Mashetani) hiyo nisura ya 72. katika sura hiyo inasema 72:1-3, 14. Sema: imefunuliwa kwangu yakuwa kundi moja la majini liliisikia (Qurani) likasema hakika tumesikia Qurani yaajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikishayoyote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa.Hakujifanyia mke wala mwana . Nasi wamo miongoni mwetu na wamo miongoni mwetu waliokengeuka waliosilimu hao ndiyo waliotafuta uwongofu.
Kwa hiyo aya hizi zinaonyesha kuwa Quran ilipokuja ndipo majini waliposilimu.Kumbuka kuwa Quran imeanza mwaka 610 B.K kipindi ambacho Biblia tayari ilikuwepo kwa karibu karne 6.Akifafanua asili ya majini Mwanazuoni mkubwa wa kiislamu aitwaye Abdalllah SalehFarsy aliye kuwa Kadhi Mkuu Zanzibar, kisha akawa Kadhi Mkuu Kenya katika kitabu alichoandika kiitwacho Maisha ya Nabii Mohammad ule Uk. 31 anasema
Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu kamainavyoonesha haya katika Suratul Jinn. Majini ni viumbe vyepesi vinavyokaa angani.havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwaumbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuwezakuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. Kwa hiyo asili ya majini nishetani.Suala linalohusu malaika linawasumbua sana waislam hata hawana uhakika wake.Tumesoma ndani ya Biblia kuwa kuna kundi la malaika waliokosa ambao ndiyowanaoitwa majini lakini tusomapo Quran inatoa maelezo tofauti. Quran suratul As-Sajdah, (kusujudu) , 32:13 Na tungelitaka tungempa kila mtu uwongofu wake (kwa lazima kama tulivyowapa malaika lakini binadamu amepewahuria ya kufanya alitakalo- lililo jema na baya).Katika ulimwengu wa Kiislamu Malaika wote ni 8 wema na wanamwabudu mungu.Hapa ndiyo tatizo linapoanzia. Quran iliyokuja baadaye inasema malaika wote niwema wakati biblia kitalu kilichoitangulia Quran kinasema kuna malaika walioasi nawakafukuzwa katika utukufu wa Mungu.Katika Quran Suratul, al-Kahf, (Pango) 18:50 Na (Kumbukeni) tulipowaambia Malaika, Msujudieni Adamu. Basi wakamsujudia isipokuwa Ibilisi yeye alikuwa miongoni mwa majini na akavunja amri ya mola wake ..
================================================================================================
So whats your point!
Kwani we ulikuwa hujui kuwa majini ni viumbe pia??
Na wale pepo alikuwachukua yesu akawaingiza kwenye nguruwe! Walikuwa ni kina nani??
Stori ndeeeeefu kama mkojo wa damu ya bwana. Lkn haina lolote jipya!
We mwnyewe umeona hapo kwenye QURAAN kuwa baada ya KUSIKIA QURAAN HATA MAJINI WALISILIMU na kuwa WAISLAMU.
Sasa nyie kila siku mnasikia Quraan lkn kusilimu HAMTAKI!
Hii inamaanisha vichwa vyenu ni vigumu KULIKO MAJINI!.
...kwani sisi ni majini,
Nyie ni ZAIDI YA MAJINI.
teh teb teh teh!
mizambwa nae kawa mhadhiri siku hizi?mh!!

Juzi sio leo.
wewe ni nani wa kuhoji kuhusu miungu au mungu wa wenzio? Hata kama wangekua wamemuombea kwa shetani huna ruhusa ya kupinga wanachokiamini as long as mhusika sio ww! Nimejaribu kufuatilia comment zako ila kwa ufupi naweza sema nina shaka na elimu yako au kweli umesoma lakini elimu yako haijakukomboa...duuuuh ama hakika watu wengine mnajisahau saaaana! Kama hujiskii kumuombea heri basi usiwapinge wanaotaka kufanya hivo na inawezkana kabisa huna mapenz na watu wa dini wa tofauti na dini yako sasa sijui kimekuwasha nn kuisoma hyo thread wakati ushaona kabisa neno kardinali pale kwenye headinghivi hizi dua mnamuombea kwa mungu yupi??
Kwa sababu kuna waefeso na wakolosai miongoni mwenu wanaimani kuwa mungu wao pia ALIKUFA! na kabla ya hapo alitaka kikombe KIMUEPUKE lkn ikashindikana!wewe ni nan wa kuhoji mungu wanaemuabudu wen
Sasa kama mnamuombe kwa huyo aliyekufa! Sidhani kama hizi dua zenu zitakuwa very effective.
Labda mfuate ushauri wa kumuagiza huyo NABII! huenda akawa na miujiza kama yule nabii wa AGAPE TV.
So whats your point!
Kwani we ulikuwa hujui kuwa majini ni viumbe pia??
Na wale pepo alikuwachukua yesu akawaingiza kwenye nguruwe! Walikuwa ni kina nani??
Stori ndeeeeefu kama mkojo wa damu ya bwana. Lkn haina lolote jipya!
We mwnyewe umeona hapo kwenye QURAAN kuwa baada ya KUSIKIA QURAAN HATA MAJINI WALISILIMU na kuwa WAISLAMU.
Sasa nyie kila siku mnasikia Quraan lkn kusilimu HAMTAKI!
Hii inamaanisha vichwa vyenu ni vigumu KULIKO MAJINI!.
Alokwambia kiongozi wa dini ndio aseme anaumwa nini ni nani? Ye ni binadamu kama wengine ana hiari kusema au kutokusema kama wewe ukiugua na kuwa na hiari kusema au kutokusema unaumwa nini.Mgimwa alikuwa ni mtu wa serikali lakini huyu ni kiongozi wa dini, je kuna uhalali wowote wa kuficha anachoumwa?
Watu tusio na dini Mungu anatupa mvua na mahitaji yetu.Watu waliojaa dini kwenye nafsi zao wanafkiri Mungu anakaa kwenye dini!!Dini zenyewe zimejaa uongo uhuni ubaguzi na upotoshaji.Mimi namwamini Mungu.Dini siiamini kabisa!!! Ni hatari kuamini dini badala ya Mungu.So whats your point!
Kwani we ulikuwa hujui kuwa majini ni viumbe pia??
Na wale pepo alikuwachukua yesu akawaingiza kwenye nguruwe! Walikuwa ni kina nani??
Stori ndeeeeefu kama mkojo wa damu ya bwana. Lkn haina lolote jipya!
We mwnyewe umeona hapo kwenye QURAAN kuwa baada ya KUSIKIA QURAAN HATA MAJINI WALISILIMU na kuwa WAISLAMU.
Sasa nyie kila siku mnasikia Quraan lkn kusilimu HAMTAKI!
Hii inamaanisha vichwa vyenu ni vigumu KULIKO MAJINI!.
Huyo hata mlie, ugonjwa wake HAMTOAMBIWA ng'oo!
Halafu!? Kumbe MAKADINALI NAO PIA WANAUGUAGA!??
Si wanasema tu! Unamponya kwa jiiiiiiiiiina la Yesu!? Au SIMAMA kwa jiiiiiina la Yesu! Halafu anapona saa hiohio!
Au wa kuyatamka hayo lzm awe mkubwa kuliko yeye!?
Naomba kufahamishwa hapo!
...mind ur business, ukijua itakisaidia nn